Kinachoendelea Kenya ni majanga. Tazama Wanajeshi wanavyotumia nguvu kwa Wananchi

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Hali inazidi kuwa tete nchini Kenya, vuguvugu la kisiasa linazidi kushika kasi.

Kutokana na maandamano yanayoendelea Polisi/ Wanajeshi wanaonekana kutumia nguvu kubwa kuwadhibiti waandamanaji.

Tazama video hapo chini, inaonesha matumizi makubwa ya nguvu na vifaa vya kijeshi pia Kuna Waandishi wa Habari wanaonekana kuingia matatizoni. Video nyingine chini zinaonesha Wananchi wameiba gari ya polisi.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 

Kwani katiba mpya inasemaje?
 
Wanataka nn huko maana kule ufaransa wanasema umri wa kustaafu usiongezwe sasa Kenya nn tena??!!
 
Jeshi halijaingia hapo
 
Wakenya wamepinda sana aisee [emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna mjeshi hapo, nguo za polisi Kenya zimekuvuruga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…