Kinachoendelea Kijazi Interchange ni hujuma au ni ajali?

Uchunguzi wangu umebaini kinachofanyika pale Kijazi ni hujuma licha ya fensi kuweka pale lakini kuna watu wanaikata au kuulaza Ili wapate sehemu ya kulala.

Video hii mmeichunia leo asubuhi.

Nashauri doria ifanyike kabla ya mengi hayajafanyika.

Halafu kuna hawa watoto ombaomba wanaoishi hapohapo. Serikali isipochukua hatua mapema hawa watoto ni majambazi wajao maana wasipopewa hizo mia mia mwshowe watakuwa wezi.

Na kuna hili eneo ukivuka daraja la zamani kuingia terminal. Kuna hiyo barabara ya kwenda ubungo maziwa. Aisee kuna giza la hatari. Pale kuna majengo ya tanesco ila hamna hata taa moja. Hapapitiki usiku.
 
Sure wataanza kupora soon
 
Back
Top Bottom