Halafu kuna hawa watoto ombaomba wanaoishi hapohapo. Serikali isipochukua hatua mapema hawa watoto ni majambazi wajao maana wasipopewa hizo mia mia mwshowe watakuwa wezi.
Na kuna hili eneo ukivuka daraja la zamani kuingia terminal. Kuna hiyo barabara ya kwenda ubungo maziwa. Aisee kuna giza la hatari. Pale kuna majengo ya tanesco ila hamna hata taa moja. Hapapitiki usiku.