Uchaguzi 2020 Kinachoendelea kwenye kampeni za CHADEMA ni kueneza chuki dhidi ya Magufuli na sio kunadi Sera na Ilani ya chama chao

Haki na uhuru ni kwa wachache, Sugu alifungwa bila kosa, kifo kilichopelekea mauti ya mama yake kipenzi.
We unajuaje hakuwa na kosa? Jamhuri nayo ingekata rufaa? Mambo ya kesi yaache wewe. Mwambie Lissu atuambie na chama chake watafanya mazuri zaidi ya haya wanayofanya CCM? Au wataanza kugwana pesa za umma kama mlivyogawana za ruzuku?
 
We unajuaje hakuwa na kosa? Jamhuri nayo ingekata rufaa? Mambo ya kesi yaache wewe. Mwambie Lissu atuambie na chama chake watafanya mazuri zaidi ya haya wanayofanya Ccm? Au wataanza kugwana pesa za umma kama mlivyogawana za ruzuku?
Ushahidi upo kuwa Sugu alifungwa bila kosa
 
Wewe msukule jitafakari, simamisha ubongo wako dakika tatu tu ufikirie unyama uliofanyiwa huyo mtu kama ungefanyiwa wewe.

Akupige risasi 38 halafu risasi 16 zikuingie.
Uende Hospitali halafu unyimwe hata pesa za kutibiwa, mshahara unyimwe na kazi ufukuzwe!

Halafu jitu jingne kama Ndugai liende India muda kama huo huo linatumia Tshs: 2 billion (inasemekna billon 4) kwa matibabu ya ugonjwa usiojulikana.

Halafu baada ya CAG kutoa siri ya hizo billion linamfanyia unyama CAG.
Think Think Think!!
Lisu ni mru muungwana sana
 
Nimekupuuza.
 
Kwa uliyoandika ni dhahiri jina lako la kwanza limekosa herufi 'n' baada ya herufi a
 
Mwambie baba yako asirudie tena KUCHARAZA WATU RISASI MCHANA KWEUPE, alifanya kosa lake kubwa sana na uamuzi wa kipuuzi mno kupata kutokea hapa nchini tangu uhuru.
 
Mwambie baba yako asirudie tena KUCHARAZA WATU RISASI MCHANA KWEUPE, alifanya kosa lake kubwa sana na uamuzi wa kipuuzi mno kupata kutokea hapa nchini tangu uhuru.
Tumia common sense kabla ya kuandika. Godwin Mollel anafahamu ukweli
 
Sasa mzee wa kiki za miujiza inje na matusi na jazba kiburi na fedhuri, kichwani yuko empty kabisaa.

Ukifuatilia kampeni zake hamna hata chochote anachosema inje ya kushuhudia miujiza ili watu wampe uraisi kama kifuta machozii
 
Ule UHUNU NA UFEDHULI wa kuamuru Lissu achapwe zile mvua za risasi tena kwa kutumia SILAHA ZA KIVITA, lazima usemwe ili usije kujirudia tena. Na muda wa kusema maovu yote ni sasa, wewe unataka yasemwe lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…