Uchaguzi 2020 Kinachoendelea kwenye kampeni za CHADEMA ni kueneza chuki dhidi ya Magufuli na sio kunadi Sera na Ilani ya chama chao

Uchaguzi 2020 Kinachoendelea kwenye kampeni za CHADEMA ni kueneza chuki dhidi ya Magufuli na sio kunadi Sera na Ilani ya chama chao

Si amejenga fly over, ameleta ajira million 6, ameboresha maslahi ya watumishi, ameleta umeme kila kona, amejenga hospital za kutosha sasa ni Mtanzania gani ataweza kueneza chuki dhidi ya mtu huyu ambaye watumishi wa umma, wakulima na wafanyabiashara wanampenda sana ?
Na hayo ndio yanfanya Lisu na chadema waeneze chuki!
Oktoba tutamrudisha kwa beberu wake amsterdam
 
Kampeni hazina kanuni. Ni kipindi cha free talk
 
Tulia dawa ifanye kazi.. kwetu sisi wengine huyo mgombea wenu ni mojawapo ya kero yetu kubwa

Hapo mwishoni umesema watu watachoka.. sasa wakichoka pia inakukera?
 
Ndugu yangu wewe ndiye kivuruge! Mzushi, mpotoshaji na mchonganishi wa viwango vya hatari! Tambua kuwa Lissu ni Mwanasheria mahiri, katika sheria huwezi kuongea kitu kama huna ushahidi, hivyo ukimsikia mwanasheria anatoa tuhuma ujuwe ana hoja ya kusimamia anachokituhumu! Pia sio lazima waongelee mambo ya CCM ndipo ujue kuwanaongea hoja, kila chama kina ilani yake na sera zake! Mbona masuala ya muhimu mengingi tu ameshayaongea na anaendelea kuyaongea tena mengi yanagusa maisha yako na ukoo wako mzima kama Bima ya afya kwa wote kwanini huongelei hayo? Hebu wacha uchonganishi wako!
 
Mwaka wake wa kwanza tu magufuli alikua ameshaiharibu nchi na kuchukiwa na watz wote......[emoji848][emoji848]
Ajibu maswali ya Rais Tundu Lissu hatutaki blabla.....[emoji19][emoji19]

Kwani Hajaanza kula mahindi [emoji1787][emoji1787]
Lisu tajibiwa na wananchi oktoba!

Mwambie aanze kuandaa mabegi tayari kwa safari ya kurejea kwa beberu wake Amstredam
 
Wewe kama kada wa ccm ulipaswa kufurahia kuona Lissu anajipoteza mwenyewe!Huku kulalamika kwako ni dalili tosha kuwa Lissu amewashika pabaya!Kura yangu kwa Lissu!
 
Nafikiri kinachoendelea ktk mikutano ya CHADEMA ni kuzungumzwa ukweli ulivyo. Siku zote ukitenda jambo tegemea kukumbushwa kila wakati hasa linapokuwa ni jambo ovu.
 
Tangu lini Magufuli ashawapenda watanzania acha sindano imuingie apate ladha
 
Lissu alipopigwa Risasi kuna watu walifurahi sana.....

Leo anapoongea na watu wake kuhusu Kupigwa kwake Risasi kuna watu Wanaumia akiwepo mtoa mada....
 
Back
Top Bottom