Jerry94
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 334
- 545
Wadudu warukao na watambaaoKamuua nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadudu warukao na watambaaoKamuua nani?
Bima ya afya? Kwani sasa hamna NHIF? Kwani haisadii wananchi? Anachoongea ni uongo na uzandiki. Aende mahakama kuu akaweke writ of Mandamus ili polisi wafanye uchunguzi tujue ukweli kama anao ushahidi wa kutosha.Ndugu yangu wewe ndiye kivuruge! Mzushi, mpotoshaji na mchonganishi wa viwango vya hatari! Tambua kuwa Lissu ni Mwanasheria mahiri, katika sheria huwezi kuongea kitu kama huna ushahidi, hivyo ukimsikia mwanasheria anatoa tuhuma ujuwe ana hoja ya kusimamia anachokituhumu! Pia sio lazima waongelee mambo ya CCM ndipo ujue kuwanaongea hoja, kila chama kina ilani yake na sera zake! Mbona masuala ya muhimu mengingi tu ameshayaongea na anaendelea kuyaongea tena mengi yanagusa maisha yako na ukoo wako mzima kama Bima ya afya kwa wote kwanini huongelei hayo? Hebu wacha uchonganishi wako!
Hata yeye angemuandikia aliyoyasema anuani yake si anayo?Kampeni za mipasho au za kunadi sera na ilani?
Kama ana maswali amuandikie kwani anafahamu anuani yake
Tena commander in Chief mwenye askari wasiojua kulenga shabaha, yaani kumuua mtu mmoja wanapoteza risasi 30 na bado wanakosa😂😂Kwahiyo huo "ukamanda in chifu" ndio atumie kuua wenzake?
Lisu kawashika wajinga wachache hapo ufipa!Lissu amewashika pabaya!Magufuli mpaka kampeni ziishe akili zitakuwa zimemruka!Lissu is going nowhere!Tutabanana hapa hapa mpala kieleweke!
Hii ya sasa nani kakwambia ni bure?? tunataka ya Lissu ni free!Bima ya afya? Kwani sasa hamna NHIF? Kwani haisadii wananchi? Anachoongea ni uongo na uzandiki. Aende mahakama kuu akaweke writ of Mandamus ili polisi wafanye uchunguzi tujue ukweli kama anao ushahidi wa kutosha.
NHIF ya sasa haisaidii kwa magonjwa ya kizee , nayo ni kueneza chuki , Chagu ?!.Bima ya afya? Kwani sasa hamna NHIF? Kwani haisadii wananchi? Anachoongea ni uongo na uzandiki. Aende mahakama kuu akaweke writ of Mandamus ili polisi wafanye uchunguzi tujue ukweli kama anao ushahidi wa kutosha.
I HIVI UNATEGEMEA KABISA HUY CHIZI MLOPOKAJI ACHUKUE NCHI? YAANI IWE JUA IWE MVUA HATA AKIOGA MJINI HAENDIMwaka wake wa kwanza tu magufuli alikua ameshaiharibu nchi na kuchukiwa na watz wote......🤔🤔
Ajibu maswali ya Rais Tundu Lissu hatutaki blabla.....😒😒
Kwani Hajaanza kula mahindi 🤣🤣
Not possible anywhere. Bora angekuja na huduma ya afya bure kwa kaya maskini ingeleta picha. Mwambie aende mahakamani akaweke ombi apate writ of mandamus. Ili tujue nani alimshambulia maana wengine wanasema ni mchongo wa Chadema.Hii ya sasa nani kakwambia ni bure?? tunataka ya Lissu ni free!
Bora hata Hashim Rungwe Ana jipya la kuwapa watoto ubwabwa kuku mashuleni siyo chadema kila siku Magufuli iii Magufuli iiii.October mnaweza kutoka na mbunge mmoja tu.
Jaduong magonjwa gani ya kizee? Maana mimi najua wazee wanatibiwa bure. Na hili linafahimika, au jaduong haujui?NHIF ya sasa haisaidii kwa magonjwa ya kizee , nayo ni kueneza chuki , Chagu ?!.
Sasa muwe na adabu siyo kila kitu ku pingapinga.Kwahiyo huo "ukamanda in chifu" ndio atumie kuua wenzake?
Why not possible?? Mbona Nyerere aliweza na hakuwa anachimba madini! Tusizuie watu wenye fikra mpya kwa kutumia mifano isiyo na uhalisia!Not possible anywhere. Bora angekuja na huduma ya afya bure kwa kaya maskini ingeleta picha. Mwambie aende mahakamani akaweke ombi apate writ of mandamus. Ili tujue nani alimshambulia maana wengine wanasema ni mchongo wa Chadema.
Lumumba na propaganda zenu mfu zimeshafeli!Sisi raia ni kama mnatupigia mziki ule ule tu!Lisu kawashika wajinga wachache hapo ufipa!
Ni kweli tunahitaji upinzani tena ulio imara ili kuichalange selikali, lkini huu upinzani wa Lisu na chadema ni wa hovyo sana!
Yani mtu yuko Ulaya kule ambako ndio wanyonyaji wa rasimali zetu alafu anatoa matamko ya uchaguzi kwa niaba ya Lisu?
Mwmbieni tumemshtukia
Madawa mengi yameondolewa huduma ya bima. Na nyingi ni zile za magonjwa sugu ya wazee .Jaduong magonjwa gani ya kizee? Maana mimi najua wazee wanatibiwa bure. Na hili linafahimika, au jaduong haujui?