Uchaguzi 2020 Kinachoendelea kwenye kampeni za CHADEMA ni kueneza chuki dhidi ya Magufuli na sio kunadi Sera na Ilani ya chama chao

Uchaguzi 2020 Kinachoendelea kwenye kampeni za CHADEMA ni kueneza chuki dhidi ya Magufuli na sio kunadi Sera na Ilani ya chama chao

Ndugu yangu wewe ndiye kivuruge! Mzushi, mpotoshaji na mchonganishi wa viwango vya hatari! Tambua kuwa Lissu ni Mwanasheria mahiri, katika sheria huwezi kuongea kitu kama huna ushahidi, hivyo ukimsikia mwanasheria anatoa tuhuma ujuwe ana hoja ya kusimamia anachokituhumu! Pia sio lazima waongelee mambo ya CCM ndipo ujue kuwanaongea hoja, kila chama kina ilani yake na sera zake! Mbona masuala ya muhimu mengingi tu ameshayaongea na anaendelea kuyaongea tena mengi yanagusa maisha yako na ukoo wako mzima kama Bima ya afya kwa wote kwanini huongelei hayo? Hebu wacha uchonganishi wako!
Bima ya afya? Kwani sasa hamna NHIF? Kwani haisadii wananchi? Anachoongea ni uongo na uzandiki. Aende mahakama kuu akaweke writ of Mandamus ili polisi wafanye uchunguzi tujue ukweli kama anao ushahidi wa kutosha.
 
Mleta mada usitake kutisha watu na Commander In Chief ambaye huo ukamanda haupati hadi aje aombe kura kwa watu.

Nashangaa unageuka kuwa wakili uchwara wa Magufuli ambaye yuko kimya dhidi ya madai ya Lissu japo tunafahamu kwamba, "Silence implies admission of guilt".

Kuhubiri sera tu pasipo kuongelea maswala ya haki za binadamu kwa sisi wengine tunaona ni kazi bure kwani tunaweza kumpigia kura mtu anayekuja kutuchinja na kututeka nyara kila siku kisa anajenga madaraja.!

Msikwepe maswala ya haki za binadamu ambayo imekuwa ni donda ndugu katika utawala huu wa sasa ambao uko tayari kulemaza watu kwa kisingizio cha kununua ndege na kujenga madaraja ambayo yanaweza yakajengwa hata bila kumwaga damu za watu.
 
Mkuu mwache tu aropoke. Wana Mwanza na Watanzania sio wajinga. Kwa aibu aliyoipata jana hapa Mwanza alibidi hata kulala asilale hapa maana ilikuwa dhahiri kuwa yeye binafsi na maneno yake HAKUBARIKI MWANZA!
 
Kwahiyo huo "ukamanda in chifu" ndio atumie kuua wenzake?
Tena commander in Chief mwenye askari wasiojua kulenga shabaha, yaani kumuua mtu mmoja wanapoteza risasi 30 na bado wanakosa😂😂
 
Lissu amewashika pabaya!Magufuli mpaka kampeni ziishe akili zitakuwa zimemruka!Lissu is going nowhere!Tutabanana hapa hapa mpala kieleweke!
Lisu kawashika wajinga wachache hapo ufipa!

Ni kweli tunahitaji upinzani tena ulio imara ili kuichalange selikali, lkini huu upinzani wa Lisu na chadema ni wa hovyo sana!

Yani mtu yuko Ulaya kule ambako ndio wanyonyaji wa rasimali zetu alafu anatoa matamko ya uchaguzi kwa niaba ya Lisu?

Mwmbieni tumemshtukia
 
Bima ya afya? Kwani sasa hamna NHIF? Kwani haisadii wananchi? Anachoongea ni uongo na uzandiki. Aende mahakama kuu akaweke writ of Mandamus ili polisi wafanye uchunguzi tujue ukweli kama anao ushahidi wa kutosha.
Hii ya sasa nani kakwambia ni bure?? tunataka ya Lissu ni free!
 
NHIF ya sasa haisaidii kwa magonjwa ya kizee , nayo ni kueneza chuki , Chagu ?!.
 
YAANI HAMNA KAZI ZA KUFANYA KWEL
Mwaka wake wa kwanza tu magufuli alikua ameshaiharibu nchi na kuchukiwa na watz wote......🤔🤔
Ajibu maswali ya Rais Tundu Lissu hatutaki blabla.....😒😒

Kwani Hajaanza kula mahindi 🤣🤣
I HIVI UNATEGEMEA KABISA HUY CHIZI MLOPOKAJI ACHUKUE NCHI? YAANI IWE JUA IWE MVUA HATA AKIOGA MJINI HAENDI
 
Hii ya sasa nani kakwambia ni bure?? tunataka ya Lissu ni free!
Not possible anywhere. Bora angekuja na huduma ya afya bure kwa kaya maskini ingeleta picha. Mwambie aende mahakamani akaweke ombi apate writ of mandamus. Ili tujue nani alimshambulia maana wengine wanasema ni mchongo wa Chadema.
 
Nyie mnavyokata wagombea wa upinzani mnapitishwa bila kupingwa hiyo ni zaidi ya chuki tena mnaweza kusababisha nchi iingie ktk vita
 
Not possible anywhere. Bora angekuja na huduma ya afya bure kwa kaya maskini ingeleta picha. Mwambie aende mahakamani akaweke ombi apate writ of mandamus. Ili tujue nani alimshambulia maana wengine wanasema ni mchongo wa Chadema.
Why not possible?? Mbona Nyerere aliweza na hakuwa anachimba madini! Tusizuie watu wenye fikra mpya kwa kutumia mifano isiyo na uhalisia!
 
Wewe unadhani ni kwanini majeshi ya Tanzania yalishangiliwa na waganda mjini Kampala mwaka 1978 baada ya kumng'oa rais wao kipenzi Idd Amin Dada?au wewe msukuma umepata ufahamu baada ya nguli mwingine kuingia ikulu ya Tz?
 
Lisu kawashika wajinga wachache hapo ufipa!

Ni kweli tunahitaji upinzani tena ulio imara ili kuichalange selikali, lkini huu upinzani wa Lisu na chadema ni wa hovyo sana!

Yani mtu yuko Ulaya kule ambako ndio wanyonyaji wa rasimali zetu alafu anatoa matamko ya uchaguzi kwa niaba ya Lisu?

Mwmbieni tumemshtukia
Lumumba na propaganda zenu mfu zimeshafeli!Sisi raia ni kama mnatupigia mziki ule ule tu!
CDM imeshapenya mioyoni mwa watanzania,hamuwezi kuifuta kwa hila zenu zisizokuwa na mashiko!
 
Jaduong magonjwa gani ya kizee? Maana mimi najua wazee wanatibiwa bure. Na hili linafahimika, au jaduong haujui?
Madawa mengi yameondolewa huduma ya bima. Na nyingi ni zile za magonjwa sugu ya wazee .
Pili hayo matibabu bure ya wazee ni siasa ya majukwaani. Lakini reality ni kinyume chake
 
Back
Top Bottom