Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anafahamu ukweli Serikali yako imechukua hatua gani we MAKOTA? Inamaana tuna GENGE LA WAHUNI TU wanaotawala bila ya kuchukua hatua zozote dhidi ya MAHARAMIA NA UFEDHULI unaoendelea hapa nchini? Kama ni hivyo, MITANO YA GENGE LA WAHUNI INATOSHA, tuchague wengine sasa..Tumia common sense kabla ya kuandika. Godwin Mollel anafahamu ukweli
Kwahiyo hisia zako binafsi ndiyo za watanzania wote? Ndiyo hisia za Lisu pia?Mimi binafsi najua JPM ni mtu wa utani na huenda alikuwa anamtania tu huyu mgombea wa Chadema.
Tena ni muhimu sana Lisu ayanene kwa kauli thabiti maovu yaliyotamalaki awamu hii, kisha aseme yatakavyosahihishwa. Uovu ni lazima usemwe kwa nguvu zote ili ufahamike kwa wote.Ule UHUNU NA UFEDHULI wa kuamuru Lissu achapwe zile mvua za risasi tena kwa kutumia SILAHA ZA KIVITA, lazima usemwe ili usije kujirudia tena. Na muda wa kusema maovu yote ni sasa, wewe unataka yasemwe lini?
Ule UHUNU NA UFEDHULI wa kuamuru Lissu achapwe zile mvua za risasi tena kwa kutumia SILAHA ZA KIVITA, lazima usemwe ili usije kujirudia tena. Na muda wa kusema maovu yote ni sasa, wewe unataka yasemwe lini?We unajuaje hakuwa na kosa? Jamhuri nayo ingekata rufaa? Mambo ya kesi yaache wewe. Mwambie Lissu atuambie na chama chake watafanya mazuri zaidi ya haya wanayofanya CCM? Au wataanza kugwana pesa za umma kama mlivyogawana za ruzuku?
Una laana weweNimekupuuza.
Ule UHUNU NA UFEDHULI wa kuamuru Lissu achapwe zile mvua za risasi tena kwa kutumia SILAHA ZA KIVITA, lazima usemwe ili usije kujirudia tena. Na muda wa kusema maovu yote ni sasa, wewe unataka yasemwe lini?
unachekesha ww!.Lissu si ana uhakika ni JPM aende mahakamani ili polisi washughulike na suala lake.
Mwambie mgombea wako ajibu hoja,October mnaweza kutoka na mbunge mmoja tu.