Uchaguzi 2020 Kinachoendelea kwenye kampeni za CHADEMA ni kueneza chuki dhidi ya Magufuli na sio kunadi Sera na Ilani ya chama chao

Chagu, furaha ya mtu hainunuliwi wala kulazimishwa. Mwanzoni wafuasi wa Ccm mlidai kuwa Cdm imekufa. Hii ni baada ya kuwafika bei baadhi yao na wengine mamluki mliowatuma humo. Lakini wananchi wamewaprove wrong . Kuwa Cdm ipo na ipo mioyoni mwao.

Hiki ni kipindi cha campaign, mwacheni kila mgombea ajinadi kwa njia anayoiona ni sahihi kwake. Lissu jana amezungumza almost 40 minutes na alizungumzia matatizo ya watu wa kanda ya ziwa eg. Kilimo cha pamba, matatizo ya wavuvi kufirisiwa na kuchomewa mali zao, ajira kwa vijana nk. Na alitumia kama dk 3 kuzungumzia mambo ya kupigwa kwake risasi. So acha watu waombwe kura.

Ungelaumu vyombo vya matangazo ningekuelewa
Alafu hili la kusema eti Ccm inafanya maendeleo ya vitu na sio watu ni aibu kubwa sana. Kwani Hospital ya mkoa ya Musoma ambayo ilikwama kwa miaka 30 ni kwa ajili ya mbuzi? Mimi nipo Segese Tambalale watu wanamshangaa sana huyu mtu wenu. Anasifia wakoloni kuwa walijenga barabara! Hajui kuwa walikuwa wanatunyonya?
 
Maneno yote yameisha? Huyo Lissu mwenyewe ametoka Belgium kafika Singida anashangaa mataa ya barabarani na traffick lights anadhani yupo bado Belgium.
Hapo ndipo Lissu anapowashinda. Kama ingekuwa ni taa na Barabara na Train kwa nini tuliwaondoa Wakoloni?

Pale St Joseph (Forodhani) ile shule ilivyojengwa na wakoloni ni shule chache sana baada ya uhuru imejengwa kwa ubora ule. If thats the Case why tuliwaondoa wazungu wakati wametujengea vitu bora na vizuri?
 
Ajibu maswali hatutaki blabla hiyo airport ya msituni inamsaidiaje mlalahoi wa geita au kuanikia unga na mazao?
Watalii wanashuka na ndege wanaenda Rubondo. Wananchi wanashuka na ndege wanakwenda Runzewe na Ushirombo. Ndege zinazotua Mwaza zikikuta jam zinatua Chato kwa Muda.
Kwa hiyo msihofu
 
Wananchi wengi walitegemea kuwa kampeni zikianza tushudie na kusikia kuwa watatutalia vipi kero zetu.

Mfano tulitarajia kusikia kuwa pamoja na haya mambo makubwa yanayotekelezwa na Ccm na serikali yake wao wangeweza kufanya mazuri zaidi ya hiki kinachofanywa.Mfano tulitegea tusikie kuwa sekta ya afya, elimu na miundo mbinu imeimarishwa na Ccm. Je wao wapinzani watafanya nini zaidi kuperfom zaidi ya kinachofanywa na Ccm sasa hivi?

Hii inadhihirisha wazi kuwa hawa wapinzani hawapo tayari kuchukua dola kama watawala na hawana uwezo wa kutawala bali wamezunguka kueneza chuki na vinyongo walivyonavyo mioyoni mwao. Na hili linatupa mashaka huenda wakiwa na nafasi ya kutawala hawatatekeleza kama Ccm inavyofanya na hata kama wakipata nafasi watatuibia mali zetu za umma na kunedeleza ufisadi.

Nimemsikiliza mgombea wa Chadema akiwa Mwanza anaongea kwa jazba na chuki akiwaaminisha wananchi kuwa rais Magufuli ndio alitoa amri ya yeye kupigwa risasi. Na hii ni kwa sababu alikuwa akipinga jitahada za JPM kulinda rasilimali za watanzania. Na ameyasema haya baad ya kumsikia rais na ambaye ni mkuu wa nchi kuwa anampenda na asipoteze muda kufanya kampeni,bali atulie na atapewa kikazi kidogo cha kufanya. Mimi binafsi najua JPM ni mtu wa utani na huenda alikuwa anamtania tu huyu mgombea wa Chadema.

Lakini mgombea wa Chadema wa urais ameongea maneno makali sana akionyesha dhahiri kuwa ana chuki na JPM na amethibitisha kwa wananchi kuwa JPM alitoa amri ya yeye kupigwa risasi. Hii sio picha nzuri na wala sio sula linalofaa. Mgombea wa Chadema kama anauhakika kuwa JPM alitoa amri ili ashambuliwe anatakiwa afuate taratibu za kisheria na kwa sababu yeye ni mwanasheria anafahamu fika Mahakama kuu inayo mamlaka ya kulazimisha vyombo husika vikalishughulikia suala lake.Lakini pale wananchi wanapojazana ili wasikie utawasaidia vipi kutatua kero zao alafu unabaki kueneza chuki hii haisadii chama chake wala yeye mwenyewe.

Badala yake watu watachoka hizi hadithi zake za kupigwa risasi na October ikifika wataambulia mbunge mmoja tu.

MHE.RAIS MTARAJIWA NA MTEULE WA MUNGU TAL,YUKO SAWA BIN SAWIA TUNAZIDI KUMUOMBEA KWA ALLAH AZIDI KUMLINDA VS YULE ADUI MUOVU,YEYE NDIYE MKOMBO WETU TUMECHOKA MATENDO MAOVU YAO.
AZIDI KUWANYOROSHA WAOVU.
 
Hapo ndipo Lissu anapowashinda. Kama ingekuwa ni taa na Barabara na Train kwa nini tuliwaondoa Wakoloni?

Pale St Joseph (Forodhani) ile shule ilivyojengwa na wakoloni ni shule chache sana baada ya uhuru imejengwa kwa ubora ule. If thats the Case why tuliwaondoa wazungu wakati wametujengea vitu bora na vizuri?
Wajinga na wapuuzi ndio mnasapoti upuuzi. Mkoloni alijenga barabara na reli ili atunyonye. Na alilenga sehemu za kuchukua malighafi. Na pesa zote zilienda ulaya kujenga uchumi wao. Maswali kama haya yanaonyesha namna Lissu alivyo na wafuasi akili zimeyumba.
Hujui kuwa mkoloni aliondoshwa sababu gani?
 
Sawa turudi kwenu werevu na wenye akili.

Tuanze na hoja gani ndege, barabara, flyover au? Chagua wewe tujadili
 
YAANI HAMNA KAZI ZA KUFANYA KWEL

I HIVI UNATEGEMEA KABISA HUY CHIZI MLOPOKAJI ACHUKUE NCHI? YAANI IWE JUA IWE MVUA HATA AKIOGA MJINI HAENDI
Mkurupukaji na mropokaji Magu ni rais wa miaka 5 tu. Tunataka mtu mwenye akili timamu. Lissu anatutosha sana
 
Elitwege anamchango gani kuhusu hili!

BTW Lissu anawaambia ukweli hakuna chuki ya aina yoyote kwenye maneno yake
Lakini sisi wana Chadema tungefurahi sana kama Lissu angekwenda kufungua kesi. Unajua hao wanaogombana watapita lakini Tanzania itabaki shida ni kwamba kama nchi wanaiachia picha gani?
 
Wananchi wengi walitegemea kuwa kampeni zikianza tushudie na kusikia kuwa watatutalia vipi kero zetu.

Mfano tulitarajia kusikia kuwa pamoja na haya mambo makubwa yanayotekelezwa na Ccm na serikali yake wao wangeweza kufanya mazuri zaidi ya hiki kinachofanywa.Mfano tulitegea tusikie kuwa sekta ya afya, elimu na miundo mbinu imeimarishwa na Ccm. Je wao wapinzani watafanya nini zaidi kuperfom zaidi ya kinachofanywa na Ccm sasa hivi?

Hii inadhihirisha wazi kuwa hawa wapinzani hawapo tayari kuchukua dola kama watawala na hawana uwezo wa kutawala bali wamezunguka kueneza chuki na vinyongo walivyonavyo mioyoni mwao. Na hili linatupa mashaka huenda wakiwa na nafasi ya kutawala hawatatekeleza kama Ccm inavyofanya na hata kama wakipata nafasi watatuibia mali zetu za umma na kunedeleza ufisadi.

Nimemsikiliza mgombea wa Chadema akiwa Mwanza anaongea kwa jazba na chuki akiwaaminisha wananchi kuwa rais Magufuli ndio alitoa amri ya yeye kupigwa risasi. Na hii ni kwa sababu alikuwa akipinga jitahada za JPM kulinda rasilimali za watanzania. Na ameyasema haya baad ya kumsikia rais na ambaye ni mkuu wa nchi kuwa anampenda na asipoteze muda kufanya kampeni,bali atulie na atapewa kikazi kidogo cha kufanya. Mimi binafsi najua JPM ni mtu wa utani na huenda alikuwa anamtania tu huyu mgombea wa Chadema.

Lakini mgombea wa Chadema wa urais ameongea maneno makali sana akionyesha dhahiri kuwa ana chuki na JPM na amethibitisha kwa wananchi kuwa JPM alitoa amri ya yeye kupigwa risasi. Hii sio picha nzuri na wala sio sula linalofaa. Mgombea wa Chadema kama anauhakika kuwa JPM alitoa amri ili ashambuliwe anatakiwa afuate taratibu za kisheria na kwa sababu yeye ni mwanasheria anafahamu fika Mahakama kuu inayo mamlaka ya kulazimisha vyombo husika vikalishughulikia suala lake.Lakini pale wananchi wanapojazana ili wasikie utawasaidia vipi kutatua kero zao alafu unabaki kueneza chuki hii haisadii chama chake wala yeye mwenyewe.

Badala yake watu watachoka hizi hadithi zake za kupigwa risasi na October ikifika wataambulia mbunge mmoja tu.
Kueneza chuki ni kueneza uongo,Kama kusema ukweli Ni kueneza chuki unasafari ndefu Sana ya kujitambua
 
Lisu tajibiwa na wananchi oktoba!

Mwambie aanze kuandaa mabegi tayari kwa safari ya kurejea kwa beberu wake Amstredam
Watz walishaiondoa ccm bara na visiwani pale 2015 wakaporwa ushindi wao na maisha yao yamekua mabaya zaidi...... Watapiga kurakwa hasira zaidi na magufuli atakua rais wa miaka 5....
Tunataka mtu mwenye akili timamu wa kuwatetea watu Uhuru haki na maendeleo
.... Tundu Lissu anatosha sana
 
Lakini sisi wana Chadema tungefurahi sana kama Lissu angekwenda kufungua kesi. Unajua hao wanaogombana watapita lakini Tanzania itabaki shida ni kwamba kama nchi wanaiachia picha gani?
Ndo hivo anastaki kwenye mahakama ya wananchi wajue ukweli,ili waone hatari ya kurudia kosa October
 
Yaani we jamaa ndio hamnazo yaani Chadema waanze kumsifia Magufuli? Sasa kama wanamsifia kuna haja gani wao kugombea? Ushaona Sehemu CCM wanawasifu CDM? Hapa kila mtu anakufa kivyake.Pambana na hali yako
Kwani Kuna sehemu mtoa mada amesema Chadema imsifie Magufuli?
 
Mkurupukaji na mropokaji Magu ni rais wa miaka 5 tu. Tunataka mtu mwenye akili timamu. Lissu anatutosha sana
yaani lissu ndiyo unaona ana akili kweli? yaani hata wewe utakuwa huna akili ndiyo maana unaona lissu ana akili
 
Watalii wanashuka na ndege wanaenda Rubondo. Wananchi wanashuka na ndege wanakwenda Runzewe na Ushirombo. Ndege zinazotua Mwaza zikikuta jam zinatua Chato kwa Muda.
Kwa hiyo msihofu
Geita ingesaidia hata Watanzania wenzetu au ile ya Kahama ingepanuliwa kwa gharama nafuu

Hiyo airport ya Chato huwa inaenda hadi miezi bila kutua kwa ndege

Hakuna mtalii ataeenda kwenye hizo mbuga ambazo hata Ndorobo hawajamalizwa Burigi naiijua vizuri Moyo wosi kigosi ndio usiseme huo uwanja umejengwa kibabe

Wacha wauanikie mazao na mifugo ifanye kuwa ndio eneo la kuotea jua

Dreamliner nasikia imekuwa mazalia ya popo TUNDU LISSU ataziuza hizo ndege kubwa zenye kulitia Taifa hasara ya ajabu

Wako wapi akina Musiba watetezi wa Ndege na Airport ya Chato
 
..mbona ccm nao wamekuwa wakieneza chuki dhidi ya wapinzani?

..wa mfano Magufuli alipodai wapinzani wakichaguliwa watavunja-vunja miundombinu hakuwa akieneza chuki?

..au polepole na bashiru wanapodai wapinzani ni vibaraka wa wazungu lengo lao siyo kueneza chuki?

..ccm kwa miaka mingi wamekuwa wakihubiri kwamba wapinzani wanataka kuleta vita nchini, hii propaganda imekuwepo tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini.

..kwa upande wa Magufuli, yeye ameongeza makali ya mbinu chafu za ccm dhidi ya wapinzani kuliko walivyokuwa wakifanya watangulizi wake, na matokeo yake ndiyo haya tunayoyashuhudia ktk kampeni.
 
Geita ingesaidia hata Watanzania wenzetu au ile ya Kahama ingepanuliwa kwa gharama nafuu

Hiyo airport ya Chato huwa inaenda hadi miezi bila kutua kwa ndege

Hakuna mtalii ataeenda kwenye hizo mbuga ambazo hata Ndorobo hawajamalizwa Burigi naiijua vizuri Moyo wosi kigosi ndio usiseme huo uwanja umejengwa kibabe

Wacha wauanikie mazao na mifugo ifanye kuwa ndio eneo la kuotea jua

Dreamliner nasikia imekuwa mazalia ya popo TUNDU LISSU ataziuza hizo ndege kubwa zenye kulitia Taifa hasara ya ajabu

Wako wapi akina Musiba watetezi wa Ndege na Airport ya Chato
Ahaaaaaa. Ngoja nikae kimya.
 
yaani lissu ndiyo unaona ana akili kweli? yaani hata wewe utakuwa huna akili ndiyo maana unaona lissu ana akili
Yani ulichoandika Umenikumbusha kuhusu Mafarisayo waliokua hawamwelewi kabisa bwana Yesu wkt anahubiri Haki upendo na uzima wa milele🤣🤣
Km hujasikia sera za Lissu basi kuna tatizo mahali hasa utindio wa ubongo.

Sera za kuwaambia mama zetu wazae sana ndo umeyasikia vizuri au kumpa Lisu kazi ndogo ndogo😀😀
 
Back
Top Bottom