Kinachoendelea kwenye kubadilishana mateka kati ya Israel na Hamas

Kinachoendelea kwenye kubadilishana mateka kati ya Israel na Hamas

Muda wote wa mapigano Wanajeshi wa HAMAS huwa hawavai màgwanda hadi pale tu panapokua na ceasefire 🤣🤣
Magaidi ni waoga sana wanavaa tu uniform hizo kukiwa na mkataba wa kusimamisha mapigano maana wana uhakika hawatashambuliwa!!
 
🚨🇺🇸🇮🇱 TRUMP AKUTANA NA FAMILIA ZA MATEKA KWENYE KNESSET

Trump na Netanyahu walishiriki katika kuketi ndani ya Knesset na familia za mateka 20 ambao Hamas wametoka kuwaachilia.

Pia walikuwepo Ivanka, Jared Kushner, na washiriki wakuu wa wajumbe wote wawili.

Mkutano huo unaashiria muhula muhimu katika mazungumzo ya kusitisha mapigano: moja ambayo Hamas haiwashiki tena mateka wa Israel.

Chanzo: @Osint613

View: https://x.com/marionawfal/status/1977670647112253844?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Zaidi ya miaka miwili IDF pamoja kusaidiwa na Marekani na Ulaya lakini wameshindwa kujua Mateka walikuwa wapi😅
 
A
Zaidi ya miaka miwili IDF pamoja kusaidiwa na Marekani na Ulaya lakini wameshindwa kujua Mateka walikuwa wapi😅
Mzee Wa UHARO acha ujinga na uache kujitoa ufahamu Oct 07,2023 Magaidi wa Hamas waliteka watu 251 kwa msemo wao walikataa kuwarejesha Waki dali mpaka Ipatikane Palestina huru lakini baada ya kipondo k ilivyo Isi kuwa kikali walikuwa wanawaachia mateka hao na mpaka sasa walibaki mateka 48 Majeshi hodari ya Israel yalipozidisha tena Mkong’onto ilibidi wakubali kuwaachia mateka wote kwa mpigo kitu ambacho kama magaidi walikuwa hawataki kabisa lakini kwa kipigo cha mbwa -koko ilibidi wakubali kuwaachia mateka wote kwa mpigo!!

Kwa maana hiyo Oct 07,2023 haiku za matunda yoyote kwa wapalestina zaidi ni kuachiwa kwa magaidi waliofungwa kwa makosa ya mauaji na Ugaidi tu!!

Wamepoteza utawala wao huko Gaza na Israel wamekuwa wanufaika kwenye sakata walilolianzisha magaidi hao!!
 
Elimu yetu itazamwe upya .

Ulichoeleza wewe hakina uhusiano wowote na ulichoqoute

Nilitarajia wewe utaelezea ambacho kina uhusiano cha ajabu umebaki kubwabwaja ovyo tu huku ukijitoa ufahamu kuto kuelewa nilichoongea. Tatizo lako huna akili!!!
 
Wanaukumbi.

Preparations underway for exchange of Israeli captives, Palestinian abductees under Gaza ceasefire..
===

Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya kubadilishana mateka wa Israel, watekwa nyara wa Kipalestina chini ya usitishaji vita wa Gaza.

UPDATE.
Picha za kipekee kutoka Al Jazeera zinaonyesha Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu likipokea kundi la kwanza la mateka wa Israel waliosalia kutoka kwa upinzani wa Wapalestina huko Gaza mapema leo.

Acha ujinga badirisha kichwa cha hanari hapo juu kisomeke kubadirisha MATEKA na WAFUNGWA!!!
 
Gaza ilivyoharibiwa na vita hawa kwa ujinga wa Hamas
Gaza itajengwa upya wewe punguani hujui lolote.

Bwana wako Netanyahu alikuwa anaulizwa huko kwa nini ulishindwa kukubaliana na Hamas mapema toka mwaka jana tusingepoteza mateka wetu na wanajeshi wetu, wewe upo Uyole andelea kutoka matamko ya kihayawani.
 
Back
Top Bottom