Magaidi ni waoga sana wanavaa tu uniform hizo kukiwa na mkataba wa kusimamisha mapigano maana wana uhakika hawatashambuliwa!!Muda wote wa mapigano Wanajeshi wa HAMAS huwa hawavai màgwanda hadi pale tu panapokua na ceasefire 🤣🤣
Wote hao ni wanaume tu unaweza kujiuliza wanawake wako wapi? Najua watakuwa watakuwa walipomaliza ufirauni wao waliwaua. Hamas ni magaidi hawastahili kuitwa ni binadamu!!!
Ulivyo mjinga na mpumbavu una Copy na Ku Paste UHARO wa Waarabu!! Kwa taarifa yako tu hao si wafungwa ni Mateka waliotekwa na magaidi wa Hamas Oct 07,2023 Acha uzwazwa wa kijinga!!Wakati wapiganaji wa Hamas walipowakabidhi wafungwa wa Israel kwa Msalaba Mwekundu.
View: https://x.com/s2funcensored/status/1977628800608550933?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
ukisikia mlio wa Risasi kila mmoja hapo anavua gwanda na kuchukua taaluma anayoitaka.Muda wote wa mapigano Wanajeshi wa HAMAS huwa hawavai màgwanda hadi pale tu panapokua na ceasefire 🤣🤣
Mzee Wa UHARO acha ujinga na uache kujitoa ufahamu Oct 07,2023 Magaidi wa Hamas waliteka watu 251 kwa msemo wao walikataa kuwarejesha Waki dali mpaka Ipatikane Palestina huru lakini baada ya kipondo k ilivyo Isi kuwa kikali walikuwa wanawaachia mateka hao na mpaka sasa walibaki mateka 48 Majeshi hodari ya Israel yalipozidisha tena Mkong’onto ilibidi wakubali kuwaachia mateka wote kwa mpigo kitu ambacho kama magaidi walikuwa hawataki kabisa lakini kwa kipigo cha mbwa -koko ilibidi wakubali kuwaachia mateka wote kwa mpigo!!Zaidi ya miaka miwili IDF pamoja kusaidiwa na Marekani na Ulaya lakini wameshindwa kujua Mateka walikuwa wapi😅
A
Mzee Wa UHARO acha ujinga na uache kujitoa ufahamu Oct 07,2023 Magaidi wa Hamas waliteka watu 251 kwa msemo wao walikataa kuwarejesha Waki dali mpaka Ipatikane Palestina huru lakini baada ya kipondo k ilivyo Isi kuwa kikali walikuwa wanawaachia mateka hao na mpaka sasa walibaki mateka 48 Majeshi hodari ya Israel yalipozidisha tena Mkong’onto ilibidi wakubali kuwaachia mateka wote kwa mpigo kitu ambacho kama magaidi walikuwa hawataki kabisa lakini kwa kipigo cha mbwa -koko ilibidi wakubali kuwaachia mateka wote kwa mpigo!!
Kwa maana hiyo Oct 07,2023 haiku za matunda yoyote kwa wapalestina zaidi ni kuachiwa kwa magaidi waliofungwa kwa makosa ya mauaji na Ugaidi tu!!
Wamepoteza utawala wao huko Gaza na Israel wamekuwa wanufaika kwenye sakata walilolianzisha magaidi hao!!
Nilitarajia wewe utaelezea ambacho kina uhusiano cha ajabu umebaki kubwabwaja ovyo tu huku ukijitoa ufahamu kuto kuelewa nilichoongea. Tatizo lako huna akili!!!Elimu yetu itazamwe upya .
Ulichoeleza wewe hakina uhusiano wowote na ulichoqoute
Acha ujinga badirisha kichwa cha hanari hapo juu kisomeke kubadirisha MATEKA na WAFUNGWA!!!Wanaukumbi.
Preparations underway for exchange of Israeli captives, Palestinian abductees under Gaza ceasefire..
===
Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya kubadilishana mateka wa Israel, watekwa nyara wa Kipalestina chini ya usitishaji vita wa Gaza.
UPDATE.
Picha za kipekee kutoka Al Jazeera zinaonyesha Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu likipokea kundi la kwanza la mateka wa Israel waliosalia kutoka kwa upinzani wa Wapalestina huko Gaza mapema leo.
Gaza itajengwa upya wewe punguani hujui lolote.Gaza ilivyoharibiwa na vita hawa kwa ujinga wa Hamas