PreGE2025 Kinachoendelea kwenye mikutano ya John Heche leo Makambako sio Mapenzi ni Mahaba

PreGE2025 Kinachoendelea kwenye mikutano ya John Heche leo Makambako sio Mapenzi ni Mahaba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
42,525
Reaction score
74,605
Baada ya Jana John Heche kionekana akiwa na Baraza Dogo la Viongozi wa dini walioalikwa kuaddress na kueleweshwa kuhus No Reform No Election leo huko Makambako ni Gumzo.

Watu ni wengi sana. Musiki na nyimbo za hamasa zinapendeza sana.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Huyu Msanii aliyetunga nyimbo hizi anastahili pongezi

View: https://youtu.be/4Krlmz_xpXI?si=FEgUGdgQ1Jx8Mgvp
 
Baada ya Jana John Heche kionekana akiwa na Baraza Dogo la Viongozi wa dini walioalikwa kuaddress na kueleweshwa kuhus No Reform No Election leo huko Makambako ni Gumzo.

Watu ni wengi sana. Musiki na nyimbo za hamasa zinapendeza sana.

Huyu Msanii aliyetunga nyimbo hizi anastahili pongezi

View: https://youtu.be/4Krlmz_xpXI?si=FEgUGdgQ1Jx8Mgvp

Siasa ni majukwaani na mabarabarani, Wananchi ndo wenye nchi
 
Aisee, kuna hamasa kubwa na ya ajabu sana kwa sasa CHADEMA. Sasa nchi iko kwenye amsha amsha ya kweli na kwa utaratibu huu kina Makalla na Wassira watakuwa wanalala na viatu na wakiamka watakuwa wanaropoka chochote kinachokuja kwenye akili zao....😀😀😀😀

Kule kwenye msafara na route ya Mwenyekiti Tundu Lissu ni balaa kuliko kawaida...

Leo kule kwenye mji wa Sumbawanga jimbo la mbunge fulani wa CCM mwenye jina la Hilal Aeshi (msomali) akishirikiana na DC na RC na CCM walifanya kila njia kutaka kuuhujumu mkutano wa Tundu Lissu, lakini ikawa ni kutwanga maji kwenye kinu tu...

Moja ya mbinu waliyotumia ni kuhakikisha kumkodi kila mwenye vyombo vya muziki (PA) ili CHADEMA wakose kabisa PA mji mzima...

Lakini mbinu hiyo ilifeli very spectacularly maana vyombo vya muziki (vipaza sauti) vilipatikana vya nguvu na nyomi ya watu wa mji wa Sumbawanga ilikuwa ni balaa...!

#IF THERE IS NO REFORMS, THERE WILL BE NO ELECTION THIS YEAR IN TANZANIA...!!

#STRONGER TOGETHER .....
 
CHADEMA kanda za kuwabeba ni mbili tu.

1. Kanda ya Nyasa
2. Kanda ya Serengeti

Tatizo lingine

Kanda ya Nyasa Mwenyekit wake na nguli wa siasa za Mbeya si mfuasi mzuri wa Lissu,, yeye ni team Mbowe. Lakin Pia nguli wa siasa za Iringa tayar yupo CCM

Kanda Ya Serengeti Chini kwa Chini mnyukano kati ya Heche na Wenje utaendelea tu.
 
Kwa hiyo kinachoendelea Iringa sasa hivi Nguli wa siasa karudi?
 
CHADEMA kanda za kuwabeba ni mbili tu.

1. Kanda ya Nyasa
2. Kanda ya Serengeti

Tatizo lingine

Kanda ya Nyasa Mwenyekit wake na nguli wa siasa za Mbeya si mfuasi mzuri wa Lissu,, yeye ni team Mbowe. Lakin Pia nguli wa siasa za Iringa tayar yupo CCM

Kanda Ya Serengeti Chini kwa Chini mnyukano kati ya Heche na Wenje utaendelea tu.
Mimi nakuona hata huelewi na hakika hujui unasema nini wewe..!

Hizo kanda zingine (Mashariki, Kaskazini, Kati na Ziwa Victoria na Zanzibar) ni chama gani sasa kinaweza kushindana na CHADEMA kwa sasa...?

Je, ni CCM? Kama jibu lako ni NDIYO, basi utakuwa unaumwa kichwa wewe...!!

Au Je, ni ACT, UDP, CUF, ADC au CHAUMA..? Kama na hapa jibu lako ni NDIYO basi utakuwa una tatizo kubwa zaidi la kukosa ufahamu na uelewa wa siasa...!!

Wenzio kina Makalla na Wassira wanalala na viatu kwa sababu ya CHADEMA na wakiamka, ma-dish ya akili zao yanakuwa yameyumba na kujikuta wanaropoka hovyo kama vichaa halafu unaleta utani hapa...?

CHADEMA it's now all over the country...

Tundu Lissu is a new force and is a Messiah sent by THE ALMIGHTY GOD whereby through him God can liberate the people of Tanganyika from the CCM slavery and chains of bondage for more than 64 years now...
 
Back
Top Bottom