PreGE2025 Kinachoendelea kwenye mikutano ya John Heche leo Makambako sio Mapenzi ni Mahaba

PreGE2025 Kinachoendelea kwenye mikutano ya John Heche leo Makambako sio Mapenzi ni Mahaba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CHADEMA it's now all over the country...

Tundu Lissu is a new force and is a Messiah sent by THE ALMIGHTY GOD whereby through him God can liberate the people of Tanganyika from the CCM slavery and chains of bondage for more than 64 years now...
Nakubali
 
Aisee, kuna hamasa kubwa na ya ajabu sana kwa sasa CHADEMA. Sasa nchi iko kwenye amsha amsha ya kweli na kwa utaratibu huu kina Makalla na Wassira watakuwa wanalala na viatu na wakiamka watakuwa wanaropoka chochote kinachokuja kwenye akili zao....😀😀😀😀

Kule kwenye msafara na route ya Mwenyekiti Tundu Lissu ni balaa kuliko kawaida...

Leo kule kwenye mji wa Sumbawanga jimbo la mbunge fulani wa CCM mwenye jina la Hilal Aeshi (msomali) akishirikiana na DC na RC na CCM walifanya kila njia kutaka kuuhujumu mkutano wa Tundu Lissu, lakini ikawa ni kutwanga maji kwenye kinu tu...

Moja ya mbinu waliyotumia ni kuhakikisha kumkodi kila mwenye vyombo vya muziki (PA) ili CHADEMA wakose kabisa PA mji mzima...

Lakini mbinu hiyo ilifeli very spectacularly maana vyombo vya muziki (vipaza sauti) vilipatikana vya nguvu na nyomi ya watu wa mji wa Sumbawanga ilikuwa ni balaa...!

#IF THERE IS NO REFORMS, THERE WILL BE NO ELECTION THIS YEAR IN TANZANIA...!!

#STRONGER TOGETHER .....
Kama hili ni kweli? Basi ni hatari!
 
Nyie mazuzu subirini uchaguzi ht majimbo 10 hamuambulii
 
Attachments

  • JamiiForums1012362808.jpeg
    JamiiForums1012362808.jpeg
    39.8 KB · Views: 18
  • Screenshot_20230918-210933.jpg
    Screenshot_20230918-210933.jpg
    109.2 KB · Views: 19
Funga kazi Sumbawanga huko.

Wananchi wamemsindikiza Lissu kutoka Uwanjani hadi hotelini. Maandamano watu kama 5000 hivi
 
Ila Watanzania ni kama wamejaa hofu sana..
Yani wanaoogopa hata kupunga mkono Aisee...
 
Hawa viongozi wachadema waende tuu Veta ili waeze kujiajiri...
Hawana hoja nzito zakugusa tusio na chama!!
 
CHADEMA kanda za kuwabeba ni mbili tu.

1. Kanda ya Nyasa
2. Kanda ya Serengeti

Tatizo lingine

Kanda ya Nyasa Mwenyekit wake na nguli wa siasa za Mbeya si mfuasi mzuri wa Lissu,, yeye ni team Mbowe. Lakin Pia nguli wa siasa za Iringa tayar yupo CCM

Kanda Ya Serengeti Chini kwa Chini mnyukano kati ya Heche na Wenje utaendelea tu.
Acha kujipa matumaini ambayo hayapo.
 
Back
Top Bottom