Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Nîmemuona Wakili ́Msomi Mzalendo Deo Mahinyila.Baada ya Jana John Heche kionekana akiwa na Baraza Dogo la Viongozi wa dini walioalikwa kuaddress na kueleweshwa kuhus No Reform No Election leo huko Makambako ni Gumzo.
Watu ni wengi sana. Musiki na nyimbo za hamasa zinapendeza sana.
Huyu Msanii aliyetunga nyimbo hizi anastahili pongezi
View: https://youtu.be/4Krlmz_xpXI?si=FEgUGdgQ1Jx8Mgvp
All the people look very happyBaada ya Jana John Heche kionekana akiwa na Baraza Dogo la Viongozi wa dini walioalikwa kuaddress na kueleweshwa kuhus No Reform No Election leo huko Makambako ni Gumzo.
Watu ni wengi sana. Musiki na nyimbo za hamasa zinapendeza sana.
Huyu Msanii aliyetunga nyimbo hizi anastahili pongezi
View: https://youtu.be/4Krlmz_xpXI?si=FEgUGdgQ1Jx8Mgvp
Kwakweli timu ya Viongozi CHADEMA imekamilika ni dream team+Dr.Slaa😀 huko Lumumba wamepanic huenda wakamtuma Afande Awadh wakati wowote kwasababu ndio karata waliobakia nayo ya kutumia Mapolisi.Nîmemuona Wakili ́Msomi Mzalendo Deo Mahinyila.
Siasa ni majukwaani na mabarabarani, Wananchi ndo wenye nchiBaada ya Jana John Heche kionekana akiwa na Baraza Dogo la Viongozi wa dini walioalikwa kuaddress na kueleweshwa kuhus No Reform No Election leo huko Makambako ni Gumzo.
Watu ni wengi sana. Musiki na nyimbo za hamasa zinapendeza sana.
Huyu Msanii aliyetunga nyimbo hizi anastahili pongezi
View: https://youtu.be/4Krlmz_xpXI?si=FEgUGdgQ1Jx8Mgvp
Sahihi.....Wananchi wana enjoySiasa ni majukwaani na mabarabarani, Wananchi ndo wenye nchi
It is very împressingMuitikio wa NO REFORMS NO ELECTION ni mkubwa sana Samia akilazimisha Nchi itaingia kwenye machafuko hii.
Kwa hiyo kinachoendelea Iringa sasa hivi Nguli wa siasa karudi?CHADEMA kanda za kuwabeba ni mbili tu.
1. Kanda ya Nyasa
2. Kanda ya Serengeti
Tatizo lingine
Kanda ya Nyasa Mwenyekit wake na nguli wa siasa za Mbeya si mfuasi mzuri wa Lissu,, yeye ni team Mbowe. Lakin Pia nguli wa siasa za Iringa tayar yupo CCM
Kanda Ya Serengeti Chini kwa Chini mnyukano kati ya Heche na Wenje utaendelea tu.
Mimi nakuona hata huelewi na hakika hujui unasema nini wewe..!CHADEMA kanda za kuwabeba ni mbili tu.
1. Kanda ya Nyasa
2. Kanda ya Serengeti
Tatizo lingine
Kanda ya Nyasa Mwenyekit wake na nguli wa siasa za Mbeya si mfuasi mzuri wa Lissu,, yeye ni team Mbowe. Lakin Pia nguli wa siasa za Iringa tayar yupo CCM
Kanda Ya Serengeti Chini kwa Chini mnyukano kati ya Heche na Wenje utaendelea tu.
NI shule zaidi ya ile ya VetaHotuba za Heche huwaga nazikubali sana, Jamaa akianza kuongea huchoki kumsikiliza
Ndio nani huyo?soon CDM watamtoa Janpeople Makambako👿!!!