Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 803
- 1,329
Like goli alilofungwa kipa wa Singida Big Star hata mtoto unayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.😷😷
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi goli la jana kipa anatemea mpira ndani ili afungweLike goli alilofungwa kipa wa Singida Big Star hata mtoto unayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.[emoji40][emoji40]
Waache wafe kizembe, Simba pekee ndio Huwa inakufa kiume[emoji23][emoji23]Like goli alilofungwa kipa wa Singida Big Star hata mtoto unayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.[emoji40][emoji40]
Ni ukilaza kuzima tv na kuja jf kutafuta hurumaLike goli alilofungwa kipa wa Singida Big Star hata mtoto unayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.[emoji40][emoji40]
Ebu liposti hapa tulioneLike goli alilofungwa kipa wa Singida Big Star hata mtoto unayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.😷😷
Mkuu Tv si ya kwako, kuna alie kununulia? Ukizima unamkomesha nani?Like goli alilofungwa kipa wa Singida Big Star hata mtoto unayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.😷😷
Akijibu nitag mkuu.vipi goli la jana kipa anatemea mpira ndani ili afungwe
Like goli alilofungwa kipa wa Singida Big Star hata mtoto unayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.😷😷
Basi sawa MwananchiUmeweka tu hisia, alikuwa upande mwingine, sema dukuduku lako na Yanga
Sitaki kuangalia maigizo. Hivyo tuMkuu Tv si ya kwako, kuna alie kununulia? Ukizima unamkomesha nani?
Huruma inanisadia nini??Ni ukilaza kuzima tv na kuja jf kutafuta huruma
USSR
😂😂😂😂Waache wafe kizembe, Simba pekee ndio Huwa inakufa kiume[emoji23][emoji23]
Jana Tena Kwa hiyo mmesawazisha??vipi goli la jana kipa anatemea mpira ndani ili afungwe
Nahisiwanakufa kiume ndugu
Akifungwa sawa tu kote kote yupo hana cha kupoteza mdogo atabaki kwenye ligi na mkubwa atabeba ubingwa raha sana.Naona singida wanakufa kiume [emoji16]
Kuzima tu tv haitoshi. Ikiwezekana ivunje kabisa ili nafsi yako ipate faraja.Like goli alilofungwa kipa wa Singida Big Star hata mtoto unayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.😷😷