Kinachoendelea Liti Stadium kimenifanya nizime TV

Yanga imefungwa mechi Moja tu katika misimu miwili. Imezifunga timu za Nchi nyingine katika michuano ya kimataifa.
Leo mleta mada anataka kuishangaa Yanga kumfunga Singida? Au anategemea Singida kumzidi ufundi Yanga?

Acha wivu wa kishamba. Saga chupa unywe kama umeumia sana na Mtivii wako huo! Eeboo!
 
Mwigulu anatuharibia mpira wetu sana.
 
Uliwaona walivyocheza na simba,????leo kama mtu anajua mpira andambwile kagusa mpira mara ngapi???jamaa alikuwa anazurura tu,kibabage ndo kabisaaaa yupo tu anamshangaa moloko kama hamjui..baroso ndo akaona akawasalimie viongozi wake wa msimu ujao kabla ya mechi..

Nchi ina mambo hii,any ways,tukutane fainali ya FA,soka hapo ndo huwa linapigwa sio huku kwa yanga b,huku ni maigizo na maelekezo tu.
 
Yanga imefungwa mechi Moja tu katika misimu miwili. Imezifunga timu za Nchi nyingine katika michuano ya kimataifa.
Leo mleta mada anataka kuishangaa Yanga kumfunga Singida? Au anategemea Singida kumzidi ufundi Yanga?

Acha wivu wa kishamba. Saga chupa unywe kama umeumia sana na Mtivii wako huo! Eeboo!
Huna hata data mkuu,unaandika bila proof,haya yanga kafungwa mechi 2,sio moja.
 
Like goli alilofungwa kipa wa Singida Big Star hata mtoto unayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.😷😷
Wazee wa kufa kiume utawajua tu
 
Wazee wa kufa kiume wanapambana kulalamika kiume pia!
Zuwena mlitegemea singida bs awasawazishie sare yenu na namungo?
 
Uliwaona walivyocheza na simba,????leo kama mtu anajua mpira andambwile kagusa mpira mara ngapi???jamaa alikuwa anazurura tu,kibabage ndo kabisaaaa yupo tu anamshangaa moloko kama hamjui..baroso ndo akaona akawasalimie viongozi wake wa msimu ujao kabla ya mechi..

Nchi ina mambo hii,any ways,tukutane fainali ya FA,soka hapo ndo huwa linapigwa sio huku kwa yanga b,huku ni maigizo na maelekezo tu.
mbona nyie hua tunawagonga hamsemi hizo mambo
 
Like goli alilofungwa kipa wa Singida Big Star hata mtoto unayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.😷😷
Nami jana Namungo vs makolo nilizima tv baada ya Kipa wa makolo kafungwa kizembe

Wydad vs makolo nayo nilizima tv baada ya kipa wa makolo kufungwa kizembe
 
Back
Top Bottom