Kinachoendelea Liti Stadium kimenifanya nizime TV

Kinachoendelea Liti Stadium kimenifanya nizime TV

Like goli alilofungwa kipa wa Singida Big Star hata mtoto unayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.😷😷
Serial A league walishawahi kushusha vigogo kama Juventus daraja hadi la pili kwa kosa la rushwa michezoni.


Tanzania timu kubwa zinanunua mechi na mambo mswano
 
Ujuha bana ni tatizo..., Unashanga gori la Haule afu unashangilia gori la Ally Salim?.

MAJEDWALI fc
Kufa kiume fc
Tunahamishia nguvu fc 😅🏃
 
Serial A league walishawahi kushusha vigogo kama Juventus daraja hadi la pili kwa kosa la rushwa michezoni.


Tanzania timu kubwa zinanunua mechi na mambo mswano
Huku ukiishusha Simba au Yanga ndio mpira utafia hapo hapo
 
Nami jana Namungo vs makolo nilizima tv baada ya Kipa wa makolo kafungwa kizembe

Wydad vs makolo nayo nilizima tv baada ya kipa wa makolo kufungwa kizembe
Ulikuwa sahihi kuzima TV. Tuendelee tu kuzima TV
 
Uliwaona walivyocheza na simba,????leo kama mtu anajua mpira andambwile kagusa mpira mara ngapi???jamaa alikuwa anazurura tu,kibabage ndo kabisaaaa yupo tu anamshangaa moloko kama hamjui..baroso ndo akaona akawasalimie viongozi wake wa msimu ujao kabla ya mechi..

Nchi ina mambo hii,any ways,tukutane fainali ya FA,soka hapo ndo huwa linapigwa sio huku kwa yanga b,huku ni maigizo na maelekezo tu.
Mpaka walimvunja Banda. Singida Big Hana tofauti na Toto African Yani wako radhi wafie uwanjani ila wasifungwe na Simba ngoja wakutane na dada yao sasa km hawapo.
 
Yanga imefungwa mechi Moja tu katika misimu miwili. Imezifunga timu za Nchi nyingine katika michuano ya kimataifa.
Leo mleta mada anataka kuishangaa Yanga kumfunga Singida? Au anategemea Singida kumzidi ufundi Yanga?

Acha wivu wa kishamba. Saga chupa unywe kama umeumia sana na Mtivii wako huo! Eeboo!
Hii ni Ligi Gani Utopolo alofungwa mechi Moja tu??
 
Naskia goli la kwanza la Yanga ni la maagizo toka kwa Dr. Mwigulu Nchemba.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom