NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Usizime tv tu, ichome Moto nyumba kabisa.Like goli alilofungwa kipa wa Singida Big Star hata mtoto unayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.[emoji40][emoji40]
Mke mkubwa haishiwi visiraniAkijibu nitag mkuu.
Mashuti ya Aziz Ki hakuna kipa aliyesalama. Manula aligeuka manila!
Lile ni tawi la jangwani...Like goli alilofungwa kipa wa Singida Big Star hata mtoto unayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.π·π·
Huna hata data mkuu,unaandika bila proof,haya yanga kafungwa mechi 2,sio moja.Yanga imefungwa mechi Moja tu katika misimu miwili. Imezifunga timu za Nchi nyingine katika michuano ya kimataifa.
Leo mleta mada anataka kuishangaa Yanga kumfunga Singida? Au anategemea Singida kumzidi ufundi Yanga?
Acha wivu wa kishamba. Saga chupa unywe kama umeumia sana na Mtivii wako huo! Eeboo!
ππππLile ni tawi la jangwani...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akijibu nitag mkuu.
Mashuti ya Aziz Ki hakuna kipa aliyesalama. Manula aligeuka manila!
Wazee wa kufa kiume utawajua tuLike goli alilofungwa kipa wa Singida Big Star hata mtoto unayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.π·π·
Mpaka kielewekeWazee wa kufa kiume utawajua tu
mbona nyie hua tunawagonga hamsemi hizo mamboUliwaona walivyocheza na simba,????leo kama mtu anajua mpira andambwile kagusa mpira mara ngapi???jamaa alikuwa anazurura tu,kibabage ndo kabisaaaa yupo tu anamshangaa moloko kama hamjui..baroso ndo akaona akawasalimie viongozi wake wa msimu ujao kabla ya mechi..
Nchi ina mambo hii,any ways,tukutane fainali ya FA,soka hapo ndo huwa linapigwa sio huku kwa yanga b,huku ni maigizo na maelekezo tu.
Nami jana Namungo vs makolo nilizima tv baada ya Kipa wa makolo kafungwa kizembeLike goli alilofungwa kipa wa Singida Big Star hata mtoto unayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.π·π·
Duh, kama huku ndio kunyamaza sijui kusema ingekuweje, pole sana kunywa maji mengi husaidia piaunayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.π·π·
π€£π€£π€£π€£π€£Kuzima tu tv haitoshi. Ikiwezekana ivunje kabisa ili nafsi yako ipate faraja.
Unakumbuka mara ya mwisho kumkanda mnyama 2 kimya ni lini???mbona nyie hua tunawagonga hamsemi hizo mambo