Kinachoendelea Liti Stadium kimenifanya nizime TV

Like goli alilofungwa kipa wa Singida Big Star hata mtoto unayecheza Umitashumita hafungwi. Nini kinaendelea Liti? Acha tunyamanze tu.😷😷
Serial A league walishawahi kushusha vigogo kama Juventus daraja hadi la pili kwa kosa la rushwa michezoni.


Tanzania timu kubwa zinanunua mechi na mambo mswano
 
Ujuha bana ni tatizo..., Unashanga gori la Haule afu unashangilia gori la Ally Salim?.

MAJEDWALI fc
Kufa kiume fc
Tunahamishia nguvu fc πŸ˜…πŸƒ
 
Serial A league walishawahi kushusha vigogo kama Juventus daraja hadi la pili kwa kosa la rushwa michezoni.


Tanzania timu kubwa zinanunua mechi na mambo mswano
Huku ukiishusha Simba au Yanga ndio mpira utafia hapo hapo
 
Nami jana Namungo vs makolo nilizima tv baada ya Kipa wa makolo kafungwa kizembe

Wydad vs makolo nayo nilizima tv baada ya kipa wa makolo kufungwa kizembe
Ulikuwa sahihi kuzima TV. Tuendelee tu kuzima TV
 
Mpaka walimvunja Banda. Singida Big Hana tofauti na Toto African Yani wako radhi wafie uwanjani ila wasifungwe na Simba ngoja wakutane na dada yao sasa km hawapo.
 
Hii ni Ligi Gani Utopolo alofungwa mechi Moja tu??
 
Naskia goli la kwanza la Yanga ni la maagizo toka kwa Dr. Mwigulu Nchemba.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…