Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Sherehe zinazofanyika ktk nchi hii chini ya kile chama, bajeti zake ni kubwa mno hata kw akufikiria tu.
Uki imagine kwamba hii ni Nchi maskini huku wanatujazia Madeni kila mwaka utaamini kabisa hii mikopo huwa inachelushwa.
Trump wa Marekani atakuwa amewashtukia omba omba wote wa Afrika wanaotwisha mizigo ya madeni kwa Wananchi huku wao wakizitumbua kwa starehe na anasa.
Mungu Mbariki Trump wa Marekani.