Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ni kufuru kufuruSherehe zinazofanyika ktk nchi hii chini ya kile chama, bajeti zake ni kubwa mno hata kw akufikiria tu.
Uki imagine kwamba hii ni Nchi maskini huku wanatujazia Madeni kila mwaka utaamini kabisa hii mikopo huwa inachelushwa.
Trump wa Marekani atakuwa amewashtukia omba omba wote wa Afrika wanaotwisha mizigo ya madeni kwa Wananchi huku wao wakizitumbua kwa starehe na anasa.
Mungu Mbariki Trump wa Marekani.
WamefanyajeCCM hao
chuki zako kwa waislamu hazikusaidii kitu mkuu
haya jaribu kuelezea kinachoendelea, wazungu wanaandamana kupinga waafrika kunyimwa misaada kwa maana masikini wa afrika watakosa dawa, serikali ya tanzagiza inafanya party ya kufuru, wabunge wanaolipwa mamilioni wanashindana ulafi kula wakati mita chache nje ya bunge watoto yatima hawajui jioni watakula nini, birthday hela kibao zinatumika hata kusema tu basi labda wakasherehekee na watoto yatima hamna, hiyo ni nini kama siyo satanism ?
sas hilo linahusianaje na waislamu? kwanu waliokuepo kule dodoma wote ni waislamu?
Si msomi....Bila shaka we ni msomi si ndiyo?
Yaani waislamu bilioni 3 duniani hawajali "small people"?!!!
Agha Khan amefariki....alikuwa muislam.....ametuachia hospitali na huduma kedekede....wako hata wasio na dini hizi...wanafanya kazi pale MCL(mwananchi+citizen),kule Kenya "Daily Nation)...wanakwenda chooni na familia zao.....
BTW ni mpumbavu gani atawachukia wakristo kwa kuwa tu Hitler na manazi wauaji wa wayahudi walikuwa ni wakristo ?!!!
#Tumia Akili
Sherehe zinazofanyika ktk nchi hii chini ya kile chama, bajeti zake ni kubwa mno hata kw akufikiria tu.
Uki imagine kwamba hii ni Nchi maskini huku wanatujazia Madeni kila mwaka utaamini kabisa hii mikopo huwa inachelushwa.
Trump wa Marekani atakuwa amewashtukia omba omba wote wa Afrika wanaotwisha mizigo ya madeni kwa Wananchi huku wao wakizitumbua kwa starehe na anasa.
Mungu Mbariki Trump wa Marekani.
Hujisumbui kusoma...angalia sasa, aga khani ni charity? mtanzagiza gani wa chini anatibiwa aga khani? tembea mikoani na wilayani huko porini ukaone hospitali Christian zinavyotoa huduma kwa kila mtu hata kwa wasi na dini, sehemu ambako hata serikal ya tanzagiza haifiki lkn Christians wapo wanahudumia watu …
Hujisumbui kusoma...
Hujisumbui kutafiti....
Unaongozwa kihisia na ufinyu wa taarifa ulizonazo katika ubongo wako usiojifunza......
Sina msaada kwa matatizo hayo makubwa....pole sana mkuu!
Unataka kujifunza?!!!kwa nini kuna vita somalia, yemeni, siria, pakistani, afghanistan, mali, sudani, maurtania, iraki, libya? btw anaye fund al shabab somalia ni saudi arabia, vita ya yemeni inachochewa na qatari na saudia, why?
Unatupikia mseto wa biriani ,Kande na ugali katika sufuria moja ?!!!kwa nini kuna vita somalia, yemeni, siria, pakistani, afghanistan, mali, sudani, maurtania, iraki, libya? btw anaye fund al shabab somalia ni saudi arabia, vita ya yemeni inachochewa na qatari na saudia, why?
Hakika....hakika hakika....Pesa za chama zinawauma nini? Tafuteni zenu aloo, hakuna Raisi atakuletea kibunda Cha pesa maisha ni magumu kisoro.
Waarabu wepi ?!!Pesa ya Mwarabu na Wajomba. Uchaguzi ukiisha nayo itapotea.
Hata mimi cjui hata kufatilia sitakiWamefanyaje