Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Kimsingi andiko lako linaafiki kuwa uchumi uko ICU.

Pia unatanabaisha kuwa wachaga wanashikilia % kubwa ya pesa zilizoko kwenye mzunguko nchini.

Mambo ikoje huko chato na kolomije?

Ni heri zile traffic lights zingefungwa pale marangu mtoni.
 
Kwa majengo,muingiliano wa watu na kuchangamka na pia kieneo na idadi ya watu
Majengo,eneo,population,na,interaction ya watu in comparison na wapi mkuu? Ili tuchambue one fact after another.
 
Kisebusebu na kiroho PAPO. Usiku wote huu hupati usingizi kwajili ya roho mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Clouds media ni ya mhaya?
Unadhani Clouds ni ya Ruge?

Pale Clouds kwebyewe wafanyakazi wengi ni Mangi's
 
Wamefika hapo Moshi kwa Pesa za mikopo na Magari ya kukodi
 
Clouds media ni ya mhaya?
Unadhani Clouds ni ya Ruge?

Pale Clouds kwebyewe wafanyakazi wengi ni Mangi's
He tena Leo wapo bukoba team nzima kwenye azimio la kagera pia kuna jamii,gazeti la jamhuri na ukizingatia kagera ni moja ya mikoa yenye radio nyingi sana na nyingine zinasikika hadi nje ya nchi kama Rwanda, Burundi, na Uganda sasa kiujumla kuna radio kumi
 
unajua Clouds media ni ya Nan?
 
Wachagga tofauti na Makabila Mengi wana nidhamu ya Fedha na Uelewa wa Kutunza kwa ajili ya Jambo fulani wacha wale maisha desemba kwao ni kufuta jasho la mwaka mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…