Wachaga tuache masifa ya hovyo ni bora tuitwe maskini tukapendelewa zaidi kama kagera wakati sio kuliko kuitwa tajiri tukaachwa hivyo hivyo tunabaki tunatoa mapovu wakiendeleza pengine na Leo kuna azimio la kagera kule bukoba ili kuondoa mkoa huo kwenye listi na mikakati mingi na miradi mingi inaendelea kagera mfano meli,airport, soko la kimataifa wakati moshi tupo na masifa mda wote eti kwetu hakuna hali ngumu tembelea rombo,siha hai,same,mwanga uone watu walivyo umasikini upo kawaida tu wachaga tuache majivuno yasiyo na msingi nimetoa mfano wa kagera tu kwa sababu napaelewa vzr