Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Wachaga inatubidi nasi tupange mikakati ya kuuinua mkoa wa Kilimanjaro kama wanavyofanya kagera.kagera ilikuwa na maendeleo sana miaka ya nyuma ila iliporomoka kwa sababu ya rushwa na kuporomoka kwa bei ya mazao na ukosefu wa meli na zao la ndizi kushambuliwa na mnyauko ambao SAA hivi umeisha kwa mda mrefu tena matatizo hayo yalishaanza kutatuliwa na rais akitia mkono wake sasa wanaamuka upya na usishangae kuiona kagera hasa bk ikiizidi Kilimanjaro kiuchumi na sisi wachaga tusibweteke siku hizi kahawa zimekufa na uzalishaji umepungua na hata ndizi tujipange upya tuache majivuno tuwafuate wahaya wanavyofanya kagera na Leo kulikuwepo azimio la kagera.
Kuna miradi mingi ipo ,ya serikali nadhan wewe siogope tu Kwani kagera wakiinuka ndio nchi kukua n.a. ndio maendeleo, Watu wanajitutumua na hakuna mtu ambae atatoka kwa kutafuta sababu nyepesi kama zako
 
Watu walishawekeza siku nyingi usitegemee watetereke kutokana na mtikisiko Wa uchumi uliyoletwa na serikali hii.
 
Kuna miradi mingi ipo ,ya serikali nadhan wewe siogope tu Kwani kagera wakiinuka ndio nchi kukua n.a. ndio maendeleo, Watu wanajitutumua na hakuna mtu ambae atatoka kwa kutafuta sababu nyepesi kama zako
Mbona walikuwa juu miaka ya nyuma kutokana na hivyo vitu nilivyovitaja
 
Kagera ulikuwa mkoa wa pili kwa uchumi na utajiri kuanzia miaka 80 kurudi nyuma uku kielimu ikiongoza mpaka grades zikaongezwa
We jamaa unautani ww,hao wshkaji ni mbwembwe tu ni maskini kitambo huwezi kuongoza ghafla urudi chini kabisa...kama waliwahi kua matajiri ni fununu tu
 
We jamaa unautani ww,hao wshkaji ni mbwembwe tu ni maskini kitambo huwezi kuongoza ghafla urudi chini kabisa...kama waliwahi kua matajiri ni fununu tu
Ukweli ndo huo sababu nilishazitaja na majanga kama vita,mnyauko,rushwa,na tetemeko,MV bukoba nk
 
Ukweli ndo huo sababu nilishazitaja na majanga kama vita,mnyauko,rushwa,na tetemeko,MV bukoba nk
Simple excuse,
Mnyauko?rushwa?mv bukoba?Ndio umekosa pakutokea sio?naona umeanza kuonyesha namna umekosa pakutokea
 
Unaifahamu Eckenford University? Unaifaham Precision Air?
Eckenforde sio ya Tairo wewe usijidanganye. Sisi tunajua nini kipo nyuma ya Eckenforde. Ownership yake ni ndogo.

Kwanza Eckenfordr yenyewe ishafilisika. Kaa kimya tu.
 
akini mambo yamekuwa tofauti kabisa, wachagga bado wanafanya masherehe makubwa kabisa, Harusi nyingi zinafanywa kwa sherehe kubwa kubwa kabisa, ubarikio na ubatizo bado vinafanyika kwa masherehe.

Hawa watu wao wanapata wapi pesa za kufanya yote haya tena kipindi hiki! Ambapo kila mtu analalamika pesa haionekani?

Tuseme ndiyo Magu kashindwa kuwabana vizuri hadi wanaendelea na matumizi ya aina hii?

Hilo ndo swali la kujiuliza. Uncle Magu, umewashindwa hawa jamaa?? Wanapatapi hiyo mihera ya kuja kutumbua huku kwao?? Nadhani wakifanya ubarikio wawekewe na ka vat kidogo huenda wakapunguza
 
Ninachokiona kiuhalisia hakuna wahaya waliowekeza Klm na Arusha kama watu wa Kaskazini walivyowekeza hapo uhayani kwenu...Hata sii ajabu hapo ulipo umrzungukwa na kina Mangi na maduka yao ya kutosha tuu but huku mimi sijashuhudia uwekezaji wa wahaya iwe kwenye utalii au elimu au biashara nyingineyo....I stand to be corrected...A piece of advice to you guys...acheni pomposity fanyeni kazi na mpunguze misifa pia mjenge kwenu vijijini huko pia mbadilishe lifestyle ili ku boost per capital income.Wishing you all the best in your endeavours.
Najua hujafika Bukoba. Najua ukifika utarudi kuwaambia haya maneno wachaga.
 
Mbona wachaga waliowekeza Mwanza ni wengi sana? Yaani kujitetea kua mama yako ni wa near Kibosho Senior Seminary hakutabadilisha fact kuwa wengi wa wahaya ni maskini.Maskini wa kihaya sio sawa na maskini wa Klm.
Nadhani huijui vizuri Mwanza wewe.
 
Back
Top Bottom