tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Kuna miradi mingi ipo ,ya serikali nadhan wewe siogope tu Kwani kagera wakiinuka ndio nchi kukua n.a. ndio maendeleo, Watu wanajitutumua na hakuna mtu ambae atatoka kwa kutafuta sababu nyepesi kama zakoWachaga inatubidi nasi tupange mikakati ya kuuinua mkoa wa Kilimanjaro kama wanavyofanya kagera.kagera ilikuwa na maendeleo sana miaka ya nyuma ila iliporomoka kwa sababu ya rushwa na kuporomoka kwa bei ya mazao na ukosefu wa meli na zao la ndizi kushambuliwa na mnyauko ambao SAA hivi umeisha kwa mda mrefu tena matatizo hayo yalishaanza kutatuliwa na rais akitia mkono wake sasa wanaamuka upya na usishangae kuiona kagera hasa bk ikiizidi Kilimanjaro kiuchumi na sisi wachaga tusibweteke siku hizi kahawa zimekufa na uzalishaji umepungua na hata ndizi tujipange upya tuache majivuno tuwafuate wahaya wanavyofanya kagera na Leo kulikuwepo azimio la kagera.