Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Unaifahamu Jamii Forum alieanzisha katoka wapi? Hacha kuwa na mawazo ya kichaga. Upuuzi mtupu, wanaowaza wachaga wana maendeleo hao ni washamba na asilimia kubwa wakija DSM kutafuta wakichemka wanaanza visingizio kibao Mara DSM kuna Joto upuuzi mtupu
Acha kupost uharo wee mla nzige na viwavijeshi!Mike Mushi ni co founder wa Jf! Per capital income ya kaskazini huwezi kufananisha na nyie wala nzige sijui senene.Klm sio level yenu so style up and work your ass hard!
 
Hehehe naona kuna kabila limekuja kugeuza maana ya Uzi, vyuma vimekaza kwa nadharia zaidi Ila ukijipanga unavilegeza tu..
Nyie wabukoba mko nyuma mkumbuke kagera Ni moja ya mikoa Masikini zaidi nchi hii
 
Unafikiri vijiji vya bk havijajengwa.kuhusu uwekezaji wa wahaya itazame mwanza,nenda mutukula,Kampala,mbarara nk uone fuatilia vzr wahaya vzr hata bukoba mbona ni afadhali ukilinganisha na miji mingi ya tz isitoshe Mimi mama yangu mkibosho kwetu nyuma ya seminar I ya kibosho huwezi kunidanganya chochote kuhusu moshi umaskini upo na hali ngumu IPO kawaida tu kama mikoa mingine na wachaga wanaukimbia sana mkoa wao kama wahaya useme tu serikali inawekeza huko na mapato ya utalii ndo yanapafanya paonekane pameendelea.ila meli zikianza kufanya kazi kagera itapaa sana kiuchumi kama zamani
 
Acha kupost uharo wee mla nzige na viwavijeshi!Mike Mushi ni co founder wa Jf! Per capital income ya kaskazini huwezi kufananisha na nyie wala nzige sijui senene.Klm sio level yenu so style up and work your ass hard!
Mimi nimepost Uharo were ukachukua ukajipaka alafu ukaenda nao mbele za watu
 
Kisebusebu na kiroho PAPO. Usiku wote huu hupati usingizi kwajili ya roho mbaya
Mweeh. Mbona makavu live? [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji381] [emoji381] [emoji381]
 
Ww jamaa unanijinasibu ni mchaga ila mbona unatokwa na mapovu hivyo
Wachaga tuache masifa ya hovyo ni bora tuitwe maskini tukapendelewa zaidi kama kagera wakati sio kuliko kuitwa tajiri tukaachwa hivyo hivyo tunabaki tunatoa mapovu wakiendeleza pengine na Leo kuna azimio la kagera kule bukoba ili kuondoa mkoa huo kwenye listi na mikakati mingi na miradi mingi inaendelea kagera mfano meli,airport, soko la kimataifa wakati moshi tupo na masifa mda wote eti kwetu hakuna hali ngumu tembelea rombo,siha hai,same,mwanga uone watu walivyo umasikini upo kawaida tu wachaga tuache majivuno yasiyo na msingi nimetoa mfano wa kagera tu kwa sababu napaelewa vzr
 
Mbona wachaga waliowekeza Mwanza ni wengi sana? Yaani kujitetea kua mama yako ni wa near Kibosho Senior Seminary hakutabadilisha fact kuwa wengi wa wahaya ni maskini.Maskini wa kihaya sio sawa na maskini wa Klm.
 
Tulia wewe fanya kazi na sio kujilinganisha na watu wasio wa level yenu
Umechanganyikiwa mpaka unaanza kujamba jamba kwenye mitandao. Huo upuuzi wenu wa mikoa yenu uishie uko uko porini, mnajisifia mna maendeleo gani upuuzi tuu mngekimbia vijiji vyenu na kuja kujazana miji mingine,mwenye akili anaelewa anaekimbia kwao kwamba maendeleo yamekuwa magumu. Kama ujanja ni kuwa na majengo mbona waindi wanakaa kwenye NHC na wana pesa nyingi. Upuuzi wa vijijini msilete mjini
 
Stick na Uzi habar za umaskini wenu kaa mkajadili na wenu hazituhusu uku jamvini!!
Kagera ni moja ya mikoa Maskini Tz Mnashika mkia
 
Mbona wachaga waliowekeza Mwanza ni wengi sana? Yaani kujitetea kua mama yako ni wa near Kibosho Senior Seminary hakutabadilisha fact kuwa wengi wa wahaya ni maskini.Maskini wa kihaya sio sawa na maskini wa Klm.
Ulishatembelea wilaya za bukoba vijijini, muleba na misenyi bila kuvuka kyaka maana hizo sehemu ndo zina wahaya pekee nyingine sijui karagwe(wanyambo),kyerwa(wanyambo),ngara(wahangaza),biharamulo (wasubi na wasukuma) husizani wahaya wanakutwa kagera nzima useme tu ni maarufu kimsingi wahaya sio maskini na ukitembelea vijiji vyao utagundua hicho usidanganywe na takwimu za mkoa mzima
 
Sure tunajazana mikoani kwenu ili kuja kuwekeza na kuwatoa ushamba! Sisi ni mabepari lazima tuje tuwatoe ushamba by squandering your resources and leaving you bathing in tears.
 
Hakuna mchaga aliesema anahali nzuri na Uzi unajieleza tu..umaskini uliopo klm unauafadhali uko kagera hali sio shwari kabisa yafaa wakae wajitathimini wajikwamue

Siri ya mafanikio ni kujituma kwa bidii ,kulalamika kulia na kujigaragaza hakutakusaidia lolote
 
Ila ukweli umeuona na huu Uzi unasemaje .moshi hakuna hali ngumu ni uongo mkubwa
 
Ila ukweli umeuona na huu Uzi unasemaje .moshi hakuna hali ngumu ni uongo mkubwa
Mkuu nikwavile hiki Ni kipindi cha matumizi zaidi,nenda January mwezi wa kulima mpaka katikati ya mwaka utaona namna watu wanavyojibana kutafuna fedha,watu wanakunywa tu uji shambani wanakaza jembe hadi kinaeleweka wakirudi home ndio panapikwa kitu cha maana,

Ni utaratibu tu baada ya mavuno watu hujiachia tu ni jambo la kawaida..tofauti ya uko na sehemu zingine ni moja tu,hakuna kuachia fursa yoyote inayojitokeza,baada ya kilimo watu huuza mitumba nk
 
Wachaga inatubidi nasi tupange mikakati ya kuuinua mkoa wa Kilimanjaro kama wanavyofanya kagera.kagera ilikuwa na maendeleo sana miaka ya nyuma ila iliporomoka kwa sababu ya rushwa na kuporomoka kwa bei ya mazao na ukosefu wa meli na zao la ndizi kushambuliwa na mnyauko ambao SAA hivi umeisha kwa mda mrefu tena matatizo hayo yalishaanza kutatuliwa na rais akitia mkono wake sasa wanaamuka upya na usishangae kuiona kagera hasa bk ikiizidi Kilimanjaro kiuchumi na sisi wachaga tusibweteke siku hizi kahawa zimekufa na uzalishaji umepungua na hata ndizi tujipange upya tuache majivuno tuwafuate wahaya wanavyofanya kagera na Leo kulikuwepo azimio la kagera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…