Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Wachagga wengi kwenye biashara kumewashinda wamebaki kufoji vyeti kuingia katika kazi za serikalini na kufanya wizi. Kwa utawala huu wa sasa ivi lazima wakimbie. Apa kariakoo maduka mengi wamekimbia yamechukuliwa na wakigoma na wakinga. Biashara za wizi wizi, sasa ivi zimekwisha lazma wajipange kisaikolojia. Wanabaki kujifariji Mara hoo Kilimanjaro sijui kumeendelea kerere za chura,
 
Liquid Club habari ya mjini Bukoba ni ya mchaga
 
Hao wakinga na wakigoma si ndio hao wanatumia mbojo[emoji15] ,tafute hela za halali jamn mbojo sio inshu kabisa
 
We piga porojo tu hata haueleweki
 
Liquid Club habari ya mjini Bukoba ni ya mchaga
Eh aliyekwambia liquid ndo club matata nani ? Kenyewe kadogo kama nyumba ya mtu.bk club matata ni kama sky motel,Casanova,linaz yenye kubeba watu 800 ,pk,bukoba club,safari pub,yassira,kilitime,q bar,na beach nyingi zenye club sio hako ukienda bk utembee bwana sio kuangalia sehemu moja nenda milimani uone
 
Tusisahau,takwimu zinasema kagera ni mkoa wa tatu kutoka mwisho kwa umaskini..Tena nasisitiza kabisa.
 
Wewe sio mchaga,acha mambo ya kishamba..nimefuatilia huu uzi naona wewe ndo umeanza kuleta mambo yako ya bukoba,wakati hapa wanaume tunazungumzia mkoa wa Kilimanjaro.

Na si mara ya kwanza kukuona unalazimishwa ushindani kati ya moshi na bukoba kwenye nyuzi zenye maudhui tofauti..sasa sijui una shida gani?..Number don't lie,Kagera ni mkoa wa 3 kutoka mwisho kwa umaskini Tz,meanwhile Kilimanjaro ni mkoa wa pili from top,kwa mikoa yenye maisha mazuri(uchumi na mengine mengi).

Wachaga wako on top,and everybody know's that,so hamna haja ya kuleta ushindani usiokuwa na mantiki..

Wachaga wakipewa sifa kwenye uzi fulani sio lazima uanze kuleta mambo ya bukoba,anzisha na wewe uzi wako uwasifie wahaya,h apo utakuwa kama mtu unayejielewa.
 
Kuna mtu anaweza kufanya ziara ya kushtukiza kwa hasira huko!
 
Tusisahau,takwimu zinasema kagera ni mkoa wa tatu kutoka mwisho kwa umaskini..Tena nasisitiza kabisa.
Watu kama hawa ni kuwajibu kwa takwimu tuu. Kasome gazeti la The Citizen la Leo sio unaongea uongo
 
Kubali kuambiwa ukweli bro.ukweli unauma lakini ni lazima useme nimetoa kagera kama mfano kwa sababu tamaduni zinafanana sana
 
Hao wanatoka nchi mbalimbali wanakuwa likizo hivo wanatumia sio hela za ndani usione wivu.
 
Kuna mtu anaweza kufanya ziara ya kushtukiza kwa hasira huko!
Na katika takwimu izo jumulisha na tetemeko la aridhi, ugonjwa wa ndizi, kuaribika kwa meli ya Victoria zaidi ya mwaka sasa na zao la kahawa limekuwa na changamoto ya Soko. Kagera watu wanapambana hakuna msaada wa serikali lakini watu wananyanyuka na maisha yanaenda
 
Kubali kuambiwa ukweli bro.ukweli unauma lakini ni lazima useme nimetoa kagera kama mfano kwa sababu tamaduni zinafanana sana
Tamaduni gani zinafanana kati ya wahaya na wachaga?..uzi huu ulikuwa na lengo la kuwapa sifa wachaga kwa kurudi nyumbani kwao msimu huu wa sikukuu na kwa kula maisha bila stress ya vyuma vimekaza..sasa wewe sijui kulichokuuma ni nini,hii ni dalili ya inferiority..
 
Utasababisha shetani apelekwe huko awashughulikie ili wasiishi kama wapo peponi.
Hio ni kukimbiza upepo tu aliepewa kapewa,hakuna mwenye dhamani ya kudumu,dunia ni ya Mungu sio ya shetani.Ni mpito tu zaidi ya kuambulia frastiration tu za kukimbiza upepo.
 
Na Mimi nimetoa changamoto kwa wachaga wote mawazo yangu ni muhimu kwa sababu naona mwelekeo wa wachaga utakuja kufanana na wahaya na mkoa wao ulivyoporomoka inferiority imetoka wapi hapo ?
 
Na Mimi nimetoa changamoto kwa wachaga wote mawazo yangu ni muhimu kwa sababu naona mwelekeo wa wachaga utakuja kufanana na wahaya na mkoa wao ulivyoporomoka inferiority imetoka wapi hapo ?
Lini kagera kulikuwa na maendeleo(yale yanayoonekana)?...ambayo unasema yameporomoka!!
 
Na Mimi nimetoa changamoto kwa wachaga wote mawazo yangu ni muhimu kwa sababu naona mwelekeo wa wachaga utakuja kufanana na wahaya na mkoa wao ulivyoporomoka inferiority imetoka wapi hapo ?
Huu ndio ukabila sasa... Kila uzi kwa nini ugusie wahaya hakuna makabila mengine ya mfano Tanzania nzima.. ?? Naona umeibukia kule kwa issue za ukabila na huku.. Umebanwa ukabila... Must be having psychological problem..
 
Na Mimi nimetoa changamoto kwa wachaga wote mawazo yangu ni muhimu kwa sababu naona mwelekeo wa wachaga utakuja kufanana na wahaya na mkoa wao ulivyoporomoka inferiority imetoka wapi hapo ?
Kweli mkuu, bora uwakumbushe Maana changamoto ambazo wahaya wamepitia wangekuwa wachaga zimewakuta tungekuwa tushawasahau kama ilo kabila lipo tena apa Tanzania
 
Huu ndio ukabila sasa... Kila uzi kwa nini ugusie wahaya hakuna makabila mengine ya mfano Tanzania nzima.. ?? Naona umeibukia kule kwa issue za ukabila na huku.. Umebanwa ukabila... Must be having psychological problem..
Sure mkuu..huyu jamaa ana tatizo kubwa sana,haiewezekani kabisa..oohoo mara moshi pa kawaida!!,,mama yangu katokea Kibosho,!!kuna umaskini mkubwa!!..watu tunamwangalia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…