jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 623
Hawa wavivu wa mkuranga utawaweza basi meku?una uhakika na maneno yako?
Unadhan n wavivu ka ww mcheza bao wa ikwirir?tunawajua hao ikifika desemba wanakopa pesa na kuazima magari ya kwenda kuoshea kwao
Siwezi kukubali... ungesema "its more dominant in females" kwa sababu tulivyo zoea kuona katika maisha ya kila siku na kihistoria pia...Narudia jealousy is female trait
maana yake WIVU NI SIFA YA KIKE.
Upo hapo ?
kijana narudiaSiwezi kukubali... ungesema "its more dominant in females" kwa sababu tulivyo zoea kuona katika maisha ya kila siku na kihistoria pia...
Lakini mbona historia ya kwanza kunukuliwa, regarding uwivu ni ya Cain???
So your misconception is proven bro... its a proverbial fallacy...
anyways tusipoteze muda mwingi sana, huku wachaga wakichapa kazi [emoji28] either way it doesnt matter all that much...
Chao...
Nauli ya kwenda bk unayosema hakuna kitu kwa gari,ndege hata meli unayo? Au una kalilishwa tu fungua Uzi wa bukoba vs moshi uone bk ilivyoigalagaza moshiBukoba hamna kitu kabisa
Kiki at its bestWakuu, Amani iwe nanyi!!
Nimekuwepo Kilimanjaro kuanzia mwanzoni mwa Mwezi huu wa December.
Na bahati nzuri nimeyaona maisha ya kijamii kabisa ya wachagga...
Nchi yetu raia wanalalamika sana kuwa hali ni ngumu kila kona, lakini hawa jamaa wa huku sivyo kabisa, nilitegemea kuona mkwamo wa sherehe msimu huu
Lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa, wachagga bado wanafanya masherehe makubwa kabisa, Harusi nyingi zinafanywa kwa sherehe kubwa kubwa kabisa, ubarikio na ubatizo bado vinafanyika kwa masherehe.
Hawa watu wao wanapata wapi pesa za kufanya yote haya tena kipindi hiki! Ambapo kila mtu analalamika pesa haionekani?
Tuseme ndiyo Magu kashindwa kuwabana vizuri hadi wanaendelea na matumizi ya aina hii?
Shikamo mzee... nakubali kutii sharti yako.. nitaizingatia na kujaribu kuiepuka hilo sifa, nisije kugundua nimesha jiambukiza kwa mbali laana ya jinsia mbili kwa pamoja...kijana narudia
Ukiona unaona ona wivu ujue wewe una sifa za kike
Hahahaahahh haina shida kakaShikamo mzee... nakubali kutii sharti yako.. nitaizingatia na kujaribu kuiepuka hilo sifa, nisije kugundua nimesha jiambukiza kwa mbali laana ya jinsia mbili kwa pamoja...
pamoja na hapo wahaya hawez fikia chagas kwa maendeleo hata roboWahaya ni kama wachaga tu ila wameshindwa kuuendeleza mkoa wao wameukimbia labda siku hizi ndo wameanza kurud polepole ndo maana mji wa bk unakua kwa haraka siku hizi tofauti na zamani
aika mekuMnaokwenda mtuwakilishe vema kuna wengine tutamiss karamu ya bwana lakini haina mbaya ndugu zetu mkiwepo.
Mkabariki vema udongo uliozaa mababu zetu na mkarudishe kile kidogo mlichokipata kwenye harakati zenu ili ndugu zenu mliowaacha wakiitunza ardhi yetu tukufu nao wapate kuneemeka ili basi na mwaka 2018 ukapate baraka za mababu na uzidi kuwa na mafanikio kwa wazaliwa wote wa ardhi ya wachaga.
Mungu awabariki sana!
''Lukuwawie na Ruwa''
una matatizo we kwa taarifa yako bukoba nimekaa miaka 2 naifaham vilivyoNauli ya kwenda bk unayosema hakuna kitu kwa gari,ndege hata meli unayo? Au una kalilishwa tu fungua Uzi wa bukoba vs moshi uone bk ilivyoigalagaza moshi
Umenena vyema ndugu ... [emoji106]Ukiiondoa CCM karibu yako lazima maendeleo yatakuja tuuu.