Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

[QUOTiw="jiwe la majiwe, post: 24801332, member: 388076"]Aah wapi..!!!

Wale wamebarikiwa kama wana Waisraeli,akijaribu baba yao wa mbinguni hatamwacha salama..[/QUOTE]
Hata Iweje hawawz filisika
 
Narudia jealousy is female trait
maana yake WIVU NI SIFA YA KIKE.

Upo hapo ?
Siwezi kukubali... ungesema "its more dominant in females" kwa sababu tulivyo zoea kuona katika maisha ya kila siku na kihistoria pia...

Lakini mbona historia ya kwanza kunukuliwa, regarding uwivu ni ya Cain???

So your misconception is proven bro... its a proverbial fallacy...

anyways tusipoteze muda mwingi sana, huku wachaga wakichapa kazi [emoji28] either way it doesnt matter all that much...

Chao...
 
Wahaya ni kama wachaga tu ila wameshindwa kuuendeleza mkoa wao wameukimbia labda siku hizi ndo wameanza kurud polepole ndo maana mji wa bk unakua kwa haraka siku hizi tofauti na zamani
 
kijana narudia

Ukiona unaona ona wivu ujue wewe una sifa za kike
 
Wahaya ni kama wachaga tu ila wameshindwa kuuendeleza mkoa wao wameukimbia labda siku hizi ndo wameanza kurud polepole ndo maana mji wa bk unakua kwa haraka siku hizi tofauti na zamani
Bukoba hamna kitu kabisa
 
Wakuu, Amani iwe nanyi!!
Nimekuwepo Kilimanjaro kuanzia mwanzoni mwa Mwezi huu wa December.
Na bahati nzuri nimeyaona maisha ya kijamii kabisa ya wachagga...
Nchi yetu raia wanalalamika sana kuwa hali ni ngumu kila kona, lakini hawa jamaa wa huku sivyo kabisa, nilitegemea kuona mkwamo wa sherehe msimu huu

Lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa, wachagga bado wanafanya masherehe makubwa kabisa, Harusi nyingi zinafanywa kwa sherehe kubwa kubwa kabisa, ubarikio na ubatizo bado vinafanyika kwa masherehe.

Hawa watu wao wanapata wapi pesa za kufanya yote haya tena kipindi hiki! Ambapo kila mtu analalamika pesa haionekani?

Tuseme ndiyo Magu kashindwa kuwabana vizuri hadi wanaendelea na matumizi ya aina hii?
Kiki at its best
 
kijana narudia

Ukiona unaona ona wivu ujue wewe una sifa za kike
Shikamo mzee... nakubali kutii sharti yako.. nitaizingatia na kujaribu kuiepuka hilo sifa, nisije kugundua nimesha jiambukiza kwa mbali laana ya jinsia mbili kwa pamoja...
 
Shikamo mzee... nakubali kutii sharti yako.. nitaizingatia na kujaribu kuiepuka hilo sifa, nisije kugundua nimesha jiambukiza kwa mbali laana ya jinsia mbili kwa pamoja...
Hahahaahahh haina shida kaka

one love.
 
Wakat nyie mkiwa mikoani mwenu mnatafuta na kula bataa sisi tunajibana mwez kama huu tunarud nyumban kuzitumbuaa kama kawaida mjin si huwa mnatucheka tukiwa tumevaa yebo yeboo
 
Mnaokwenda mtuwakilishe vema kuna wengine tutamiss karamu ya bwana lakini haina mbaya ndugu zetu mkiwepo.

Mkabariki vema udongo uliozaa mababu zetu na mkarudishe kile kidogo mlichokipata kwenye harakati zenu ili ndugu zenu mliowaacha wakiitunza ardhi yetu tukufu nao wapate kuneemeka ili basi na mwaka 2018 ukapate baraka za mababu na uzidi kuwa na mafanikio kwa wazaliwa wote wa ardhi ya wachaga.

Mungu awabariki sana!

''Lukuwawie na Ruwa''
 
Wahaya ni kama wachaga tu ila wameshindwa kuuendeleza mkoa wao wameukimbia labda siku hizi ndo wameanza kurud polepole ndo maana mji wa bk unakua kwa haraka siku hizi tofauti na zamani
pamoja na hapo wahaya hawez fikia chagas kwa maendeleo hata robo
 
Mnaokwenda mtuwakilishe vema kuna wengine tutamiss karamu ya bwana lakini haina mbaya ndugu zetu mkiwepo.

Mkabariki vema udongo uliozaa mababu zetu na mkarudishe kile kidogo mlichokipata kwenye harakati zenu ili ndugu zenu mliowaacha wakiitunza ardhi yetu tukufu nao wapate kuneemeka ili basi na mwaka 2018 ukapate baraka za mababu na uzidi kuwa na mafanikio kwa wazaliwa wote wa ardhi ya wachaga.

Mungu awabariki sana!

''Lukuwawie na Ruwa''
aika meku
nipo njian kuelekea huko
 
Nauli ya kwenda bk unayosema hakuna kitu kwa gari,ndege hata meli unayo? Au una kalilishwa tu fungua Uzi wa bukoba vs moshi uone bk ilivyoigalagaza moshi
una matatizo we kwa taarifa yako bukoba nimekaa miaka 2 naifaham vilivyo
bukoba n pa hovyo sana pamechakaa stand ya mkoa n vumbi Tupi
vujumba vilivyopo mjin vya ajabu refer tetemeko lilivowaumbua
uwekezaji mpo 0% hata magari yanayokuja kwenu bukoba nengi n ya watu wa kaskazn
mfano princes muro
Osaka
mghamba
nenda moshi uone wenyeji walivyowekeza kwa 100% nyie mmekimbia mkoa wenu ndio maana kagera n ya 3 kwa umaskini
Kilimanjaro n ya pili kwa maisha bora kW mujibu wa takwimu za wizara ya fedha
 
Back
Top Bottom