mkuu naona hata we huamini unachosema unarukaruka
1_kuhusu uwaanja wa ndege MBNA sisi tuna uwanja wa kimataifa kia lakin hatujigambi? sembuse nyie kiji uwanja cha bukoba?
2_bukoba kimakaz n pa hovyo nimekaa kahororo,kashai na kagondo vijumba vya ajabu
lile tetemeko liliwaumbua aina ya vijumba mlivyonavyo bukoba mjini
3_niny mmekimbia mkoa wenu mmebaki kujigamba tu wakati mkoa wa kagera n wa 3 kwa umaskini,Kilimanjaro n ya pili kwa kuwa na maisha bora(kwa mujibu wa ripoti ya wizara ya fedha)
4_ninyi hamna uwekezaji wowote mkubwa either mkoan kwenu au nje angali sisi kiufupi ITV,NIPASHE,RADIO ONE,EATV,EA RADIO,MAJI KILIMANJARO,COCACOLA(BoNITE) precision air nk
5_mabasi ya mikoani karibu 40% n ya watu wa kaskzn Fanya utafiti
6_mnajitapa mmesoma wakati bukoba hakuna Chuo kikuu hata kimoja,Kilimanjaro ndio inaingoza tz kuwa na secondary nyingi
pia INA vyuo vikuu vifuatavyo
muccobs,kcmc,mwenge catholic ,na matawi ya vyuo hayana idadi
niishie hapo kiufupi bukoba kwa moshi haifikii hata 1% mkoa wa kagera n mkoa wa 3 kwa umaskini kawekezeni kwenu achen mbwembwe
ahsante