Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Wee subiri kuanzia wiki ijayo hata huku Jamii Forum tutawaachia vyasaka mpostpost sisi tuko bize tunachinja. Mkuu hapo bado sisi kina G Sam hatujatinga na mbwembwe zetu. Unaenda Kijiji lakini hapo njiani unapaki kwenye bar siyo chini ha tano. Ukifika maeneo ya Same unachukua wale mbuzi wa pale unafunga wa kutosha unatia timu kijijini unachinja mmoja baada ya mwingine. Mimi December nasafiri na gari mbili. Moja lile pickup langu kubebea mbuzi pale same na nyingine ni ya kutembelea na familia. Hilo pickup linaenda kwa shughuli maalum za kule shamba. Sasa crate za bia unadhani nikiwa kule shamba zitabebwaje?

Tutawamiss kidogo ila ndiyo utaratibu wetu!
 
chaga sii wa mchezo mchezo
 
Mabasi ya kuja bukoba mbona sio hayo tu ni mengi mbona mfano friends,falcon,mombasa raha,ota,ilyana,fikoshi,nk isitoshe hakuna sababu ya kuwa na mabasi mengi maana meli ikitia nanga tu bukoba inamwaga zaidi ya watu 1500 kutoka mwanza hivyo wengi usafiri hadi mwanza kwa either basi au train na siku kunajengwa meli nyingine kubwa zaidi inayobeba watu 1200 hivi hawa watu moshi kwa siku moja wanaokuja kwa basi ndo maana uwekezaji wa mabasi utapata loss maana wengi uwenda hadi mwanza kwanza na kuja kwa meli au basi ndo maana root ya bk mwanza INA mabasi mengi.pia watu wengi kwa sababu ya sifa na utajiri wao uja kwa ndege hadi bukoba ndo maana safari za ndege kuna bukoba hazikomi na uwanja inapanuliwa zaidi ili ndege kubwa kama fastjet ziweze kutua .hivi unafikiri kwa nini wafanye hivyo ? Kuhusu mji wa bukoba kuwa na majengo yaliozeeka sijui kama unachokisema unakifahamu maana maghorofa siku hizi yanaongezeka kila siku mfano mwaka huu tu maghorofa 20 yameongezeka mjini hasa milimani ukiongeza na ihungo blocks.bahati nzr mji wa moshi nimesomea pale moshi tech ila moshi pamekanda sana mighorofa speed yake sio kama ya bukoba na muingiliano wa watu ni mdogo kulinganisha na arusha na mabasi mengi yaneelekea arusha sio moshi lakini sio mengi kama ya bk mwanza

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
mkuu naona hata we huamini unachosema unarukaruka
1_kuhusu uwaanja wa ndege MBNA sisi tuna uwanja wa kimataifa kia lakin hatujigambi? sembuse nyie kiji uwanja cha bukoba?
2_bukoba kimakaz n pa hovyo nimekaa kahororo,kashai na kagondo vijumba vya ajabu
lile tetemeko liliwaumbua aina ya vijumba mlivyonavyo bukoba mjini
3_niny mmekimbia mkoa wenu mmebaki kujigamba tu wakati mkoa wa kagera n wa 3 kwa umaskini,Kilimanjaro n ya pili kwa kuwa na maisha bora(kwa mujibu wa ripoti ya wizara ya fedha)
4_ninyi hamna uwekezaji wowote mkubwa either mkoan kwenu au nje angali sisi kiufupi ITV,NIPASHE,RADIO ONE,EATV,EA RADIO,MAJI KILIMANJARO,COCACOLA(BoNITE) precision air nk
5_mabasi ya mikoani karibu 40% n ya watu wa kaskzn Fanya utafiti
6_mnajitapa mmesoma wakati bukoba hakuna Chuo kikuu hata kimoja,Kilimanjaro ndio inaingoza tz kuwa na secondary nyingi
pia INA vyuo vikuu vifuatavyo
muccobs,kcmc,mwenge catholic ,na matawi ya vyuo hayana idadi
niishie hapo kiufupi bukoba kwa moshi haifikii hata 1% mkoa wa kagera n mkoa wa 3 kwa umaskini kawekezeni kwenu achen mbwembwe
ahsante
 
hamna mji umejichokea kama Moshi, ikifika jioni mjini hakuna watu wameshakimbilia migombani kunywa vitochi....hata Njombe kumechangamka kupita Moshi....wachaga ni washamba sana wanajua maisha ni kulewa mapombe tu
 

inaweza kuwa haikuhusu sana........halafu pia.....bado hatujaja wote.......yaani hapa ndio tumeanza shopping........subiri tunaanza kupanda tar 22......tusubiri Himo........
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wachaga nawapenda sana..wakikutana mjini wanajua kuishi kama ndg..wana jua kupeana support mchaga aliefanikiwa cku zote atapenda kuona na wenzake wanafanikiwa..ushirikiano na umoja ndo silaha yao kuu..hakika wachaga wamebarikiwa sana
 
inaweza kuwa haikuhusu sana........halafu pia.....bado hatujaja wote.......yaani hapa ndio tumeanza shopping........subiri tunaanza kupanda tar 22......tusubiri Himo........
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…