Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

tunawajua hao ikifika desemba wanakopa pesa na kuazima magari ya kwenda kuoshea kwao
Hilooo[emoji15] [emoji15] [emoji15] ....kwao kubaya na halijaendeleza kwao lipo hapa linaweweseka na kuwaonea wanye kwao wivu.hakuna mchagha fala wa kuazima magari kama hana atajipa moyo wa kupata mwakani na kweli ana-fight mwaka kesho nae unamkuta kwenye msafara,acha uzwazwa bablai jenga kwenu likizo upate na wewe pakwenda.
 
Acha ujinga wewe magari hakuna MTU anaeazima ni yetu na pesa hatukopi ni hela yetu ya kufight wenyewe so nawe jibidishe uende kwenu
 
Mkuu ni.ekupenda bure
 
Kwa nini nifanye biashara tangu January mpaka December halafu Krismasi nisiende mgombani kujipongeza? Lazima nikale ndafu bwana. Na nyie msituonee sisi Wachaga wivu. Biashara ni jadi yetu kama ilivyo jadi yetu kwenda mgombani Krismasi. Shimbony?
Shicha meku. Tunapiga kazi mwaka mzima lazma tukajiponheze buana. Si ni taiga kubwaaaa
 
Hzi roho za kichawi zinakuandama tutakufanyia maombi over the air utapona
 
Acha unafki wewe

50% ya wachaga ni wajasiria Mali na wapo vizuri sana katika kibudget hela ya kwenda kuesabiwa kila mwisho wa mwaka
 
Acha unafki wewe

50% ya wachaga ni wajasiria Mali na wapo vizuri sana katika kibudget hela ya kwenda kuesabiwa kila mwisho wa mwaka
 
hali mbaya ni kwako wakati wewe unalalamika hali mbaya wengine wako wanafuja wanasiasa wasikuanganye kuwa hali ni mbaya wakati wao wenyewe mambo mazuri
 
Hao ulio waona si wa disemba bali ni wa mwaka mzima wanaish Moshi wenyewe wanatokeaga mikoa ya Dar , Mbeya , Iringa , Moro , Dom , Ars na Mnyr kwenda Moshi
 
Hivi ni majanga mangapi yameupata MKOA WA Kagera kulinganisha na Kilimanjaro.mpaka kagera inakuwa hivi ilivyo? After all leta leta niachane na sifa zako za uongo et ITV wakati hata hii jamii ni mhaya,clouds media ni mhaya,abemulo nk yote ya wahaya.bora nikuache na masifa yako ambayo hayana msingi ila nakuakikishia Kilimanjaro itaporomoka tu hasa mkiendelea ni misifa yenu hii ya kijinga
 
hamna mji umejichokea kama Moshi, ikifika jioni mjini hakuna watu wameshakimbilia migombani kunywa vitochi....hata Njombe kumechangamka kupita Moshi....wachaga ni washamba sana wanajua maisha ni kulewa mapombe tu
Wambie nikiwambia hawanielewi siku hizi kahama inabwaga moshi mbaya mbovu kwa ukuaji na maendeleo
 
Salute,


Kuzunguka zunguka kwangu kote, sijaona Mchaga hohae, ambaye anaishi mfano kwenye nyumba za pembe.


Hivi ni kwanini ?, au wao ni matepeli sana ama wanafanya biashara za type gani?



Nawasilisha.
 
Hahaha ...mm nina wapuuzi kibao wakichaga nawajua masikiti wa kutupwa tunawasaidia hapa
 
Wambie nikiwambia hawanielewi siku hizi kahama inabwaga moshi mbaya mbovu kwa ukuaji na maendeleo
mnachekesha kweli kweli
ingia web ya tra uangalie makusanyo ya moshi na hko kwenu then mrudi hapa
nyie mmebaki sifa tu bukoba imedidimia vibaya
 
nyie n sifa zimewazid hakuna cha majanga
mnakimbia kuwekeza kwenu mtarajie mtapata maendeleo? n aibu bukoba kutokuwa na Chuo Kikuu hata kimoja
stand ya mkoa n vumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…