tunawajua hao ikifika desemba wanakopa pesa na kuazima magari ya kwenda kuoshea kwao
Chagga tribe, ni watu waliochangamka mapema sana, huwa hawana cha kupoteza kwenye maisha, wako vizur sana kwenye kutumia rasilimali watu, ardhi na mitaji kujipatia pesa, wao pesa mbele na kuzisaka wanajua na kubebana kidungu wapo vizur sio kama makabila mengine ya tz yamekaa kimaandazz!
Chaga tribe ni good example, mm natafuta mke wa kichagga nioe
Eeeka Mushi Saah!Mnaokwenda mtuwakilishe vema kuna wengine tutamiss karamu ya bwana lakini haina mbaya ndugu zetu mkiwepo.
Mkabariki vema udongo uliozaa mababu zetu na mkarudishe kile kidogo mlichokipata kwenye harakati zenu ili ndugu zenu mliowaacha wakiitunza ardhi yetu tukufu nao wapate kuneemeka ili basi na mwaka 2018 ukapate baraka za mababu na uzidi kuwa na mafanikio kwa wazaliwa wote wa ardhi ya wachaga.
Mungu awabariki sana!
''Lukuwawie na Ruwa''
Nipe mkuu kama sifa anazo!!Nikupe namba mkuu??
Wanaenda vijijini jioni baada ya kazi kwa sababu vijijini kuna makazi bora na huduma nzuri zaidi ya hata mjini.Moshi ipo vile bse ya uwepo wa Arusha only 80 kms so wachaga wengi pia wanakaa Arusha na ni wawekezaji wakubwa Arusha.Kuzungukwa na majiji mawili ya Tanga na Arusha ndiko kunaifanya Moshi isi expand but all in all kinachotakiwa Moshi town ni renovation ndogo sana....mji umepangika bado haujatanuka in kms bse ya thamani ya ardhi.Upo?hamna mji umejichokea kama Moshi, ikifika jioni mjini hakuna watu wameshakimbilia migombani kunywa vitochi....hata Njombe kumechangamka kupita Moshi....wachaga ni washamba sana wanajua maisha ni kulewa mapombe tu
Pambana na hali yakoWakuu, Amani iwe nanyi!!
Nimekuwepo Kilimanjaro kuanzia mwanzoni mwa Mwezi huu wa December.
Na bahati nzuri nimeyaona maisha ya kijamii kabisa ya wachagga...
Nchi yetu raia wanalalamika sana kuwa hali ni ngumu kila kona, lakini hawa jamaa wa huku sivyo kabisa, nilitegemea kuona mkwamo wa sherehe msimu huu
Lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa, wachagga bado wanafanya masherehe makubwa kabisa, Harusi nyingi zinafanywa kwa sherehe kubwa kubwa kabisa, ubarikio na ubatizo bado vinafanyika kwa masherehe.
Hawa watu wao wanapata wapi pesa za kufanya yote haya tena kipindi hiki! Ambapo kila mtu analalamika pesa haionekani?
Tuseme ndiyo Magu kashindwa kuwabana vizuri hadi wanaendelea na matumizi ya aina hii?
Ukishatufahamu ndio ufanyeje mkuu??FYI tumejaa wengi sana....ukianzia na co- founder wa Jf Mike Mushi.Huu uzi unanisaidia kujua wachagga wa jf....