Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Chagga tribe, ni watu waliochangamka mapema sana, huwa hawana cha kupoteza kwenye maisha, wako vizur sana kwenye kutumia rasilimali watu, ardhi na mitaji kujipatia pesa, wao pesa mbele na kuzisaka wanajua na kubebana kidungu wapo vizur sio kama makabila mengine ya tz yamekaa kimaandazz!
Chaga tribe ni good example, mm natafuta mke wa kichagga nioe
 
siri kubwa ninayoiona kwa wachgga ni kujituma sana na ubahili/serving, pia wachaga wana wivu wa maendeleo. kwa hali hii wanafanikiwa sana , pia wengi wao wanapenda kwenda kufanya maendeleo makwao kama kujenga nyumba nzuri za kisasa tofauti na hawa wenzetu wengine akipiga kadili kidogo anatafuta bar nzuri yenye malaya, siku mbili pesa imeisha anarudi kwenye msoto, kwa hali hali hii utafanaikiwa ? jitafakari, jifute vumbi ulipoanguka na kujikwaa songa mbele mafanikio yapo.
 
Umasikini ni comperative term.....Taifa hili bado ni maskini likewise to the majority of its citizen! Kwa wachaga maskini wapo na wanatofautiana kama walivyo pia ktk makabila mengine.Ila maskini wa uchaggani huwezi mfananisha na maskini anayekula viwavi kwenye baadhi ya tribes au anayejipanga barabarani akiomba fedha.Hii nchi nimeizunguka ila sijawahi kumwona mchaga akiwa ombaomba....Tunapoenda nyumbani krismass huwa tunafanya analysis ya kipato kwa kila family member kama yupo anaye lag behind huwa tunamchangia ili aondokane na abject poverty.
 
tunawajua hao ikifika desemba wanakopa pesa na kuazima magari ya kwenda kuoshea kwao

Hapo Umebugu kaka. Na kujenga wanaazima pia?? Fika Uchagani uone vitu.. Nakuwekea Google earth uone mwenyewe. Hawa ni watu wenye akili na wanawaza maendeleo sio ujinga.
 

Attachments

  • Mkuu.jpg
    Mkuu.jpg
    134.7 KB · Views: 40
  • Mwika.jpg
    Mwika.jpg
    93.1 KB · Views: 29
  • Marangu.jpg
    Marangu.jpg
    103.6 KB · Views: 36
  • kibosho.jpg
    kibosho.jpg
    84.4 KB · Views: 29
  • Machame.jpg
    Machame.jpg
    76.1 KB · Views: 35
Chagga tribe, ni watu waliochangamka mapema sana, huwa hawana cha kupoteza kwenye maisha, wako vizur sana kwenye kutumia rasilimali watu, ardhi na mitaji kujipatia pesa, wao pesa mbele na kuzisaka wanajua na kubebana kidungu wapo vizur sio kama makabila mengine ya tz yamekaa kimaandazz!
Chaga tribe ni good example, mm natafuta mke wa kichagga nioe

Nikupe namba mkuu??
 
Mnaokwenda mtuwakilishe vema kuna wengine tutamiss karamu ya bwana lakini haina mbaya ndugu zetu mkiwepo.

Mkabariki vema udongo uliozaa mababu zetu na mkarudishe kile kidogo mlichokipata kwenye harakati zenu ili ndugu zenu mliowaacha wakiitunza ardhi yetu tukufu nao wapate kuneemeka ili basi na mwaka 2018 ukapate baraka za mababu na uzidi kuwa na mafanikio kwa wazaliwa wote wa ardhi ya wachaga.

Mungu awabariki sana!

''Lukuwawie na Ruwa''
Eeeka Mushi Saah!
 
hamna mji umejichokea kama Moshi, ikifika jioni mjini hakuna watu wameshakimbilia migombani kunywa vitochi....hata Njombe kumechangamka kupita Moshi....wachaga ni washamba sana wanajua maisha ni kulewa mapombe tu
Wanaenda vijijini jioni baada ya kazi kwa sababu vijijini kuna makazi bora na huduma nzuri zaidi ya hata mjini.Moshi ipo vile bse ya uwepo wa Arusha only 80 kms so wachaga wengi pia wanakaa Arusha na ni wawekezaji wakubwa Arusha.Kuzungukwa na majiji mawili ya Tanga na Arusha ndiko kunaifanya Moshi isi expand but all in all kinachotakiwa Moshi town ni renovation ndogo sana....mji umepangika bado haujatanuka in kms bse ya thamani ya ardhi.Upo?
 
Wakuu, Amani iwe nanyi!!
Nimekuwepo Kilimanjaro kuanzia mwanzoni mwa Mwezi huu wa December.
Na bahati nzuri nimeyaona maisha ya kijamii kabisa ya wachagga...
Nchi yetu raia wanalalamika sana kuwa hali ni ngumu kila kona, lakini hawa jamaa wa huku sivyo kabisa, nilitegemea kuona mkwamo wa sherehe msimu huu

Lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa, wachagga bado wanafanya masherehe makubwa kabisa, Harusi nyingi zinafanywa kwa sherehe kubwa kubwa kabisa, ubarikio na ubatizo bado vinafanyika kwa masherehe.

Hawa watu wao wanapata wapi pesa za kufanya yote haya tena kipindi hiki! Ambapo kila mtu analalamika pesa haionekani?

Tuseme ndiyo Magu kashindwa kuwabana vizuri hadi wanaendelea na matumizi ya aina hii?
Pambana na hali yako
 
Tuache utani. Most us should be inspired. Kiukweli wachagga wengi wenye uwezo wamewekeza kwao. Wamejenga nyumba nzuri na hata elimu wamezingatia. Kwa hilo nawapongeza. Nadhani swala la kuwekeza nyumbani si la kubeza. Linasaidia hata vizazi na vizazi kujitambua.

Nina wengi nawafahamu, mjini wanasukuma Range na maghorofa makini mitaa ya Mikocheni/Mbezi beach Lakini kwenda kwao ni mpaka misiba na watafikia hotelini. Wengi tunajijua humu. Ndo maana usishangae kukuta mzee amestaafu na nafasi kubwa serikalini yuko Masaki Lakini kwao kijijini anapaona kama mahakamani! Mwisho wa siku unakuta mtu bila aibu anakwambia nataka nijenge "room mbili" za kufikia kijijini! Very primitive house!

Au unakuta mtu bila aibu anakupa stupid excuse eti kujenga nyumba kijijini ni hasara kwa sababu nyumba itakaa idle! Hiyo ni akili kichwani au ni vumbi???

Mimi si mchagga, Lakini nimejifunza na naendelea kujifunza. Wengi hatujui kwamba ukipajenga kijijini kwenu una-inspire hata wengine kujenga and in the process kijiji kinakua na huduma muhimu zinapatikana. Talk of multiplier effects. Na maendeleo ndo hayo!

Kuna mzee mmoja namfahamu amestaafu in one of the regional organizations hapo ARUSHA, amejenga nyumba Machame nadhani hata Oyserbay haipo hiyo nyumba! Very impressive.

Maisha ni kujifunza. It never ends!
 
Back
Top Bottom