Kinachoendelea Msumbiji, magaidi na Jeshi - Part 3

Hatari sana aisee
 
Mimi hawa sitaacha kuwaita magaidi maana for whatever reasons, hamna validation ya hiki wanachokifanya cha kuua raia ikiwamo wanawake na watoto, tena kwa kukatakata na kuchinja!

Hamna sababu yoyote ya kuhalalisha uhuni huu.
Hujakosea, nia yao ni Islamization tuu ndio maana kitu cha kwanza walipochukua mko ilikuwa kulazimisha wanawake kufunika nywele na kuvaa kama ninja na kuweka sharia walipoteka, hawana interest zaidi ya kutumia ugaidi kusambaza imani yao
 
Tujichunge na Waisilamu wenye Siasa kali hao ndio huwa wanakuwa Magaidi wa Hatari.
Uislalm ni kama kichaka; kinaweza kutunza wanyamaa, majani ya wanyama, wahalifu.....
Haya makundi yalisetiwa kwa ustadi mkubwabmiongo kadhaa iliyopita ili kufanya sehemu flani kwa wakati ufaao zikose utulivu kwa maslani ya US na washirika wake.
 
Mjinga anatumika kirahisi bila ya yeye kujua ndio maana kuna Shule za Kisecular zinazofundisha Ukweli Madrasa zinafundisha Kuarabisha Waafrika
 
Huyo mhuni anaongea kwa code kudivert jambo la msingi.

Mpuuzi sana Nina mashaka naye sana.
2016 kulikuwa na Uzi unaohusu haya magaidi waliibuka wahuni wengi sana wanaongea kwa code Kama huyu.
 
Waasi wa RENAMO wamekuwa msituni for decades hawajawahi kushambulia na kuua wananchi halafu ghafla tu wabadilike waanze kushambulia raia ?
 
...
 
.serikali ya Tanzania inatakiwa iwe makini sana na suala la amani kusini mwa nchi, vikundi vya kigaidi huanza kidogokidogo mwisho wa siku nchi huingia katika matatizo.
 
Mi naona mpaka wa kusini mwa tanznia ndio uko hatarini na tishio kubwa.
Ni vyema Tanzania ijitoe DRC ili ijiimarishe mpaka wa msumbiji kwani ndio kwenye tishio kubwa.

Hali kadhalika ni vyema pia SAMIDRC ikajiondoa huko Kongo kulinda heshima yake
Hii ni kutokana na kuendelea kudhalilika mbele ya wapiganaji wa m23 na Rwanda.
 
Kagame analalamikiwa sana. Muda mwingine kama tunamuonea tu. Kwa umri wake hawezi kuishi miaka zaidi ya kumi umri umeenda. Ila cha ajabu hata siku akifariki bado migogoro itaendelea tu. Hizi nchi zijichunguze zenyewe mchawi nani.
 
Aisee huu ni uchawi wa wazi kabisa!
Kagame analalamikiwa sana. Muda mwingine kama tunamuonea tu. Kwa umri wake hawezi kuishi miaka zaidi ya kumi umri umeenda. Ila cha ajabu hata siku akifariki bado migogoro itaendelea tu. Hizi nchi zijichunguze zenyewe mchawi nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…