Kinachoendelea ndani ya klabu ya Yanga ni huruma

Brand za wachezaji zimepanda mno, ndivyo ilivyo timu ikipata mafanikio.

Ukiona timu haina hizi kash kash mwisho wa msimu jibu unalo
Rank namba 6 Africa sio mchezo Hata hao kaizer wamepitwa!

Hata dhamani ya klabu imepanda huu ni muda wa viongozi kuleta wadhamini wenye misuli mikubwa zaidi
 
Wakate pochi tu MTANI! Hela ndiyo kila kitu na siyo talalila.
YANGA FC ni kubwa kuliko kocha mchezaji Hersi Manara GSM na sisi wanazi wake...
 
Mko kutafuta kitu cha kuwapa furaha. Kweli machungu ya kukosa kikombe hata cha chai, yanauma sana. Poleni sana madunduka FC. Mpira una matokeo ya kikatili sana, sasa mmejipa kazi ya kufuatilia kila tetesi ya Yanga.
Bado tunasheherekea ubingwa, mtuache kwanza. Anyway Asanteni kwa kuitangaza Yanga 🔰
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]napenda kuona UTO wakikosa furaha [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…