Kinachoendelea ndani ya klabu ya Yanga ni huruma

Kinachoendelea ndani ya klabu ya Yanga ni huruma

Brand za wachezaji zimepanda mno, ndivyo ilivyo timu ikipata mafanikio.

Ukiona timu haina hizi kash kash mwisho wa msimu jibu unalo
Rank namba 6 Africa sio mchezo Hata hao kaizer wamepitwa!

Hata dhamani ya klabu imepanda huu ni muda wa viongozi kuleta wadhamini wenye misuli mikubwa zaidi
 
USAJILI Kiungo/Beki wa Yanga mkongomani Yannick Bangala Litombo amesema wazi wazi ana asilimia 20% tu za kubaki Yanga. Naishia hapa nakuachia wewe mdau unateseka ukiwa wapi na hizi taarifa za wachezaji wenu kuanza kusepa?..BANGALA ATHIBITISHA KUONDOKA YANGA.

Baada ya Kocha Nasredinne Nabbi Kuondoka Yanga na inataarifiwa kuwa Tayari ameshasaini Kaizer Chief ya Afrika Ya Kusini.

Kocha Nabi anataka Kuwasajili baadhi ya Wachezaji Ambao alikuwa nao ndani ya Klabu hio ya Yanga aende nao Kaizer.

Yanick Bangala ni moja ya Wachezaji wanaoitajika na Kocha Nabi na ana Mkataba Wa Mwaka Mmoja.

Tayari Kaizer Chief wamewatumia Barua Yanga kwa ajili ya Kutaka Saini ya Kiungo huyo Yanick Bangala.

Inatajwa Bangala Yupo Tayari Kukubali Ofa Hio na Muda wowote atatuma Barua ya Kutaka Kuvunja Mkataba Wake na Yanga Kama Yanga wakigomea Ofa ya Kaizer Chief .

Kwenye Mahojiano aliyofanya Bangala Siku za Hivi Karibuni Amesema ana Asilimia 20 ya Kubaki Yanga na Asilimia 80 ya Kuondoka.

Kaizer inampango wa Kuwasajili Wachezaji Wanne Kutoka Klabu Ya Yanga.

#YangaSC #YannickBangala

View attachment 2659602
Wakate pochi tu MTANI! Hela ndiyo kila kitu na siyo talalila.
YANGA FC ni kubwa kuliko kocha mchezaji Hersi Manara GSM na sisi wanazi wake...
 
Mko kutafuta kitu cha kuwapa furaha. Kweli machungu ya kukosa kikombe hata cha chai, yanauma sana. Poleni sana madunduka FC. Mpira una matokeo ya kikatili sana, sasa mmejipa kazi ya kufuatilia kila tetesi ya Yanga.
Bado tunasheherekea ubingwa, mtuache kwanza. Anyway Asanteni kwa kuitangaza Yanga 🔰
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]napenda kuona UTO wakikosa furaha [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Back
Top Bottom