Tetesi: Kinachoendelea ni dalili za kuwasili AMNESTY INTERNATIONAL

Tetesi: Kinachoendelea ni dalili za kuwasili AMNESTY INTERNATIONAL

Siku hizi bar kuna vitu adimu kuliko huko serikalini kunakopikwa data

Kaka,

Siyo siku hizi. Siku zote bar ndiko kwenye habari zote. Hata wale binadamu wanaoishi kwa kunusanusa habari na kuzipeleka kwa waliowatuma hujazana bar ingawa siku hizi wanajazana hata humu mitandaoni.
 
.
Screenshot_20190307-205731.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu mambo ya baa unatuletea tu discuss huku, hiyo akili matope? kajadili na walevi wenzako huko.
 
Mkuu,
Mimi siyo unaowasema, nimeleta tetesi za mtaani na hata mimi sina hakika kama ni kweli au la.

Kama tunapigwa na kuonewa basi AMNESTY INTERNATIONAL wana haki ya kuja.

Hata kitendo cha kukalishwa mahabusu kwa miezi minne wanatakiwakukichukua kama evi
ence.
Hao pamewashinda Congo Africa ya Kati Somalia south Sudan Ethiopia myinmar colombia Mexico Burundi Rwanda je wataweza kwetu ambapo hatujafikia hatua hiyo
 
Kaka,

Siyo siku hizi. Siku zote bar ndiko kwenye habari zote. Hata wale binadamu wanaoishi kwa kunusanusa habari na kuzipeleka kwa waliowatuma hujazana bar ingawa siku hizi wanajazana hata humu mitandaoni.
Na sifa mojawapo ya hao wanusaji ili unuse vizuri, ni kuwa mnywaji. Ingawa hunywa kwa mahesabu lengo kuu likiwa ni kunusa. Nimemshangaa jamaa mmoja hapo juu anasema eti habari za kwenye bar.... Huko ndo mijadala ya nchi iliko, tena watu huwa wanajadili kwa kufunguka kwa sababu ya ujasili fake wa larger

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom