Hebu msome vizuri hapa
Hapa Taasisi ambazo zina haki ya kusikilizwa kwenye suala la Bandari ni Bunge na Mahakama, sio taasisi yeyote ya dini wala kikundi chochote hapa nchini.
- Kwenye suala la IGA tayari Mahakama Kuu kanda ya Mbeya ilishatoa hukumu kwamba IGA haina tatizo na kubariki mchakato mzima wa uwekezaji uendelee.
- Tatu, Bunge la JMT limepitisha mkataba wa IGA kwa kuzingatia sheria za bunge na maslahi mapana ya Taifa letu.
- Kama suala la kitaifa la uwekezaji kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu mmeanza kulitia udini, basi niwaambia Mbegu mnayoipanda sio nzuri na kwa hakika, itawatokea puani siku si nyingi.