Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

Kama umeomba hiyo nafasi we endelea kufanya shughuli zako tu za day worker usizitegemee hyo maana rushwa ni kubwa sanasana wanasubiri shule zifungwe mwezi wa 6
 
Watendaji kata na wenyeviti wa Vijiji wameketi Leo kujadili majina ya waombaji, kigezo kikubwa ni kuwa wanachama wa CCM ndio wanaopewa kipaumbele zaidi, kama siyo mwanachama basi omba Sana Mungu kuweza kuvuka hicho kinyang'anyiro
kwani kwenye cv na barua kuna kipengele cha uanachama au,wakati tangazo linasema asiwe mwanachama wa chama chochote cha siasa au tume wanavunja kanuni kwa makusudi
 
Watendaji kata na wenyeviti wa Vijiji wameketi Leo kujadili majina ya waombaji, kigezo kikubwa ni kuwa wanachama wa CCM ndio wanaopewa kipaumbele zaidi, kama siyo mwanachama basi omba Sana Mungu kuweza kuvuka hicho kinyang'anyiro
Watajuaje km ni mwanachama au sio mwanachama?
 
Zoezi linaanza rasmi mwezi wa kumi mwishoni na sio mwezi wa sita kma wengi wanavyodhani, reference ya zoezi la uandikishaji mwaka 2019
 
Kwani serikari imetangaza rasmi kuhusu muda wa huo zoezi kufanyika pamoja na muda wa uchaguzi jamani? Kwanza tuulizeni hayo matokeo au majina ya waliopata hizo nafasi ni lini yatatoka!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…