Kagombanishwa mzungu , Ukraine na Russia na sasa wanadundana na wengine wameshawasaliti, Ukraine wanajifia tu wenyewe na wafadhili butu tu.Mzungu/Muamerika anakuaje chanzo cha mabalaa ya hao wengine?Itoshe kusema,hao wahanga wamezidiwa akili na wazungu.Unagombanishwaje/kuchonganishwa kibwege na kweli mnaanza kudundana?Huko ni kukosa reasonings tu.Ulafi,roho mbaya na uzuzu wa viongozi na wahanga waliotajwa ni janga kwao.
Ukraine hawajagombanishwa zaidi ya Urusi kuwa na hangover inayoongozwa na tamaa ya mali zilizopo kwa majirani hasahasa mafuta na gesi.Pia,bado Putin ana wenge la kutaka kujitanua/kuirudishia Urusi ule ukubwa/upana wake wa zamani kabla haijasambaratika.Kagombanishwa mzungu , Ukraine na Russia na sasa wanadundana na wengine wameshawasaliti, Ukraine wanajifia tu wenyewe na wafadhili butu tu.
Sembuse nchi za Afrika ambazo bado tuna chambia majani?
Kwa nini NATO anapeleka silaha za kivita na sio mazungumzo,? Mazungumzo ya zelensky na trump yaliisha vipi Dc?Ukraine hawajagombanishwa zaidi ya Urusi kuwa na hangover inayoongozwa na tamaa ya mali zilizopo kwa majirani hasahasa mafuta na gesi.Pia,bado Putin ana wenge la kutaka kujitanua/kuirudishia Urusi ule ukubwa/upana wake wa zamani kabla haijasambaratika.
Umesahau kuwa hao wafaransa ndio walioanza kuenda katika nchi za Africa na kupora rasilimali zao?Nchi za Ulaya zinapaswa kuondoa wahamiaji warudi kwao waache unafiki wa kutaka kuwaridhisha watu. Wimbi la uhamiaji limeharibu hizi nchi kitamaduni, kiuchumi na kila kitu.
Jambo lingine linalonishangaza, nenda mashariki ya kati, njoo afrika, ni vigumu eti ahamie mzungu hapa Tanzania aishi kiasi kwamba familia yake siku moja ije kushika nafasi za kisiasa. Sidhani kama ninaweza kuhamia China nikaishi na kuzaa watoto China ambao siku moja wakaja kushikilia nafasi za kisiasa kule. Huu ujinga uko ulaya na marekani.
France is burning, next ni UK na Germany.
Rudisha kila mtu kwao. Wahamiaji wanatoka kwao halafu kile walichokimbia kwao ndicho wanachokileta kwenu.