GE2025 Kinachofanya Chama kiwe Chama Tawala au Chama Kikuu cha Upinzani ni Uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita.

Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna chama kipya kitachukua status mojawapo hapo.

Ni kujidanganya kuamini kuwa utaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani au chama tawala kama hutashiriki uchaguzi.

Binadamu wa lugha zote wanamsemo ambao kwa kiswahili unasema 'Hakuna marefu yasiyo na ncha'

Japo wengi tulibeza na kuona kuwa ni ndoto za abunuwasi lakini huenda soon zinaenda kuwa kweli, ACT-TANZANIA soon watakuwa chama kikuu cha upinzani bara na visiwani (endapo CCM itafanikiwa ku-retain status yake ya kuwa chama tawala kwenye pande zote za muungano).

Muda ni mwalimu asiekosea, soon atatuamulia ukweli tusiotamani kuusikia kuwa 'kinachofanya tuitwe chama kikuu cha upinzania au chama tawala ni uchaguzi'
 
Kati

Katika mazingira gani mnataka Cdm iingie kwenye uchaguzi. Waendelee kutekwa, kunyanyaswa, kupotezwa na kuuliwa ?!.

Kwa Tume ipi hii inayorimotiwa na moja wa wagombea ?!. Hii ya wakurugenzi wa halmashauri na madass ?!.

Kwanini chama kinachojinasibu kuwa ni kikubwa Africa. Kinaogopa uchaguzi ulio huru na wa haki ?!. Mbona wanataka mpaka waTz wafanye vurugu ndiyo waje mezani ?!.

Act kama wanata huko kuitwa chama kikuu cha upinzani hakuna anayewazuia. Lakini wanajua hawana ubavu wakuishinda Cdm
 
Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita.

Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna chama kipya kitachukua status mojawapo hapo.

Ni kujidanganya kuamini kuwa utaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani au chama tawala kama hutashiriki uchaguzi.

Binadamu wa lugha zote wanamsemo ambao kwa kiswahili unasema 'Hakuna marefu yasiyo na ncha'

Japo wengi tulibeza na kuona kuwa ni ndoto za abunuwasi lakini huenda soon zinaenda kuwa kweli, ACT-TANZANIA soon watakuwa chama kikuu cha upinzani bara na visiwani (endapo CCM itafanikiwa ku-retain status yake ya kuwa chama tawala kwenye pande zote za muungano).

Muda ni mwalimu asiekosea, soon atatuamulia ukweli tusiotamani kuusikia kuwa 'kinachofanya tuitwe chama kikuu cha upinzania au chama tawala ni uchaguzi'
Shida ni watu je act inaweza kuwa na uungwaji mkono kama CHADEMA chama ni watu bwana
 
Act hata afanyeje hawezi kupata uungaji mkono na wananchi walio wengi hasa vijana.
Hii ni kwasababu most of the leaders na walioko huko kwa matazamo hata sio wa shule ni waroho wa madaraka na pesa na ni wachumia tumbo.
Hata Kama wataitwa Chama kikuu Cha upinzani, still hakimo mioyoni mwa wananchi kutokana na status waliyojijengea kwenye jamii.
 
Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita.

Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna chama kipya kitachukua status mojawapo hapo.

Ni kujidanganya kuamini kuwa utaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani au chama tawala kama hutashiriki uchaguzi.

Binadamu wa lugha zote wanamsemo ambao kwa kiswahili unasema 'Hakuna marefu yasiyo na ncha'

Japo wengi tulibeza na kuona kuwa ni ndoto za abunuwasi lakini huenda soon zinaenda kuwa kweli, ACT-TANZANIA soon watakuwa chama kikuu cha upinzani bara na visiwani (endapo CCM itafanikiwa ku-retain status yake ya kuwa chama tawala kwenye pande zote za muungano).

Muda ni mwalimu asiekosea, soon atatuamulia ukweli tusiotamani kuusikia kuwa 'kinachofanya tuitwe chama kikuu cha upinzania au chama tawala ni uchaguzi'

Hiyo ni official recognition.

Bunge lilopita Chadema walikuwa na mbunge moja tu bungeni lakini Maza alihangaika mpaka kujaribu kufanya Maridhiano.
 
Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita.

Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna chama kipya kitachukua status mojawapo hapo.

Ni kujidanganya kuamini kuwa utaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani au chama tawala kama hutashiriki uchaguzi.

Binadamu wa lugha zote wanamsemo ambao kwa kiswahili unasema 'Hakuna marefu yasiyo na ncha'

Japo wengi tulibeza na kuona kuwa ni ndoto za abunuwasi lakini huenda soon zinaenda kuwa kweli, ACT-TANZANIA soon watakuwa chama kikuu cha upinzani bara na visiwani (endapo CCM itafanikiwa ku-retain status yake ya kuwa chama tawala kwenye pande zote za muungano).

Muda ni mwalimu asiekosea, soon atatuamulia ukweli tusiotamani kuusikia kuwa 'kinachofanya tuitwe chama kikuu cha upinzania au chama tawala ni uchaguzi'

Jaman chadema washasema hawataki

Fanyeni wenyewe tu na vyama vyenu rafiki

Mbona ni ishu ndogo sana
 
Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita.

Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna chama kipya kitachukua status mojawapo hapo.

Ni kujidanganya kuamini kuwa utaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani au chama tawala kama hutashiriki uchaguzi.

Binadamu wa lugha zote wanamsemo ambao kwa kiswahili unasema 'Hakuna marefu yasiyo na ncha'

Japo wengi tulibeza na kuona kuwa ni ndoto za abunuwasi lakini huenda soon zinaenda kuwa kweli, ACT-TANZANIA soon watakuwa chama kikuu cha upinzani bara na visiwani (endapo CCM itafanikiwa ku-retain status yake ya kuwa chama tawala kwenye pande zote za muungano).

Muda ni mwalimu asiekosea, soon atatuamulia ukweli tusiotamani kuusikia kuwa 'kinachofanya tuitwe chama kikuu cha upinzania au chama tawala ni uchaguzi'
Jamani eeee... CHADEMA wamekataa/wamegoma kushiriki uchaguzi iwapo hakuna marekebisho/maboresho ya sheria za uchaguzi.Nini hapo hakijaeleweka?Kila siku nyuzi na kauli majukwaani kuwapanga washiriki.Kwani mna agenda gani?Mnataka wajitokeze muwaue?Hawataki kushiriki,basi!
 
No Reforms No Election
Yaani kwa kiswahili ni hivi bila mabadiliko ya Sheria na Kanuni za uchaguzi - uchaguzi HAUTAKUWEPO.
 
Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita.

Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna chama kipya kitachukua status mojawapo hapo.

Ni kujidanganya kuamini kuwa utaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani au chama tawala kama hutashiriki uchaguzi.

Binadamu wa lugha zote wanamsemo ambao kwa kiswahili unasema 'Hakuna marefu yasiyo na ncha'

Japo wengi tulibeza na kuona kuwa ni ndoto za abunuwasi lakini huenda soon zinaenda kuwa kweli, ACT-TANZANIA soon watakuwa chama kikuu cha upinzani bara na visiwani (endapo CCM itafanikiwa ku-retain status yake ya kuwa chama tawala kwenye pande zote za muungano).

Muda ni mwalimu asiekosea, soon atatuamulia ukweli tusiotamani kuusikia kuwa 'kinachofanya tuitwe chama kikuu cha upinzania au chama tawala ni uchaguzi'
Uko sahihi kabisa, hakuna mwenye tatizo na ukweli huo. Lakini uchaguzi lazima uwe wa halali ili kupata sifa hizo. Ni wendawazimu kushiriki uchaguzi ambao umepangwa matokeo ili kupata nafasi fulani isiyo ya haki. Nitawadharau sana cdm kama watakubali kushiriki uchaguzi wa kihuni ili kupata sifa ya kuwa chama kikuu cha upinzani. Cdm imeshavuka hatua ya kutaka kuwa chama kikuu cha upinzani, inataka uchaguzi wa haki iwe hata ya mwisho kwa ridhaa ya wananchi, sio kuwa chama kikuu cha upinzani kwa hisani ya ccm na mfumo.
 
Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita.

Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna chama kipya kitachukua status mojawapo hapo.

Ni kujidanganya kuamini kuwa utaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani au chama tawala kama hutashiriki uchaguzi.

Binadamu wa lugha zote wanamsemo ambao kwa kiswahili unasema 'Hakuna marefu yasiyo na ncha'

Japo wengi tulibeza na kuona kuwa ni ndoto za abunuwasi lakini huenda soon zinaenda kuwa kweli, ACT-TANZANIA soon watakuwa chama kikuu cha upinzani bara na visiwani (endapo CCM itafanikiwa ku-retain status yake ya kuwa chama tawala kwenye pande zote za muungano).

Muda ni mwalimu asiekosea, soon atatuamulia ukweli tusiotamani kuusikia kuwa 'kinachofanya tuitwe chama kikuu cha upinzania au chama tawala ni uchaguzi'
Tumezoea kuonewa acha wachukue tu mnaowaona wanafaa.No Reform No Election.
 
Endeleeni kujidanganya na mama yenu
 
Back
Top Bottom