Katika mazingira gani mnataka Cdm iingie kwenye uchaguzi. Waendelee kutekwa, kunyanyaswa, kupotezwa na kuuliwa ?!.Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita.
Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna chama kipya kitachukua status mojawapo hapo.
Ni kujidanganya kuamini kuwa utaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani au chama tawala kama hutashiriki uchaguzi.
Binadamu wa lugha zote wanamsemo ambao kwa kiswahili unasema 'Hakuna marefu yasiyo na ncha'
Japo wengi tulibeza na kuona kuwa ni ndoto za abunuwasi lakini huenda soon zinaenda kuwa kweli, ACT-TANZANIA soon watakuwa chama kikuu cha upinzani bara na visiwani (endapo CCM itafanikiwa ku-retain status yake ya kuwa chama tawala kwenye pande zote za muungano).
Muda ni mwalimu asiekosea, soon atatuamulia ukweli tusiotamani kuusikia kuwa 'kinachofanya tuitwe chama kikuu cha upinzania au chama tawala ni uchaguzi'
Shida ni watu je act inaweza kuwa na uungwaji mkono kama CHADEMA chama ni watu bwanaKitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita.
Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna chama kipya kitachukua status mojawapo hapo.
Ni kujidanganya kuamini kuwa utaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani au chama tawala kama hutashiriki uchaguzi.
Binadamu wa lugha zote wanamsemo ambao kwa kiswahili unasema 'Hakuna marefu yasiyo na ncha'
Japo wengi tulibeza na kuona kuwa ni ndoto za abunuwasi lakini huenda soon zinaenda kuwa kweli, ACT-TANZANIA soon watakuwa chama kikuu cha upinzani bara na visiwani (endapo CCM itafanikiwa ku-retain status yake ya kuwa chama tawala kwenye pande zote za muungano).
Muda ni mwalimu asiekosea, soon atatuamulia ukweli tusiotamani kuusikia kuwa 'kinachofanya tuitwe chama kikuu cha upinzania au chama tawala ni uchaguzi'
Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita.

Jamani eeee... CHADEMA wamekataa/wamegoma kushiriki uchaguzi iwapo hakuna marekebisho/maboresho ya sheria za uchaguzi.Nini hapo hakijaeleweka?Kila siku nyuzi na kauli majukwaani kuwapanga washiriki.Kwani mna agenda gani?Mnataka wajitokeze muwaue?Hawataki kushiriki,basi!Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita.
Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna chama kipya kitachukua status mojawapo hapo.
Ni kujidanganya kuamini kuwa utaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani au chama tawala kama hutashiriki uchaguzi.
Binadamu wa lugha zote wanamsemo ambao kwa kiswahili unasema 'Hakuna marefu yasiyo na ncha'
Japo wengi tulibeza na kuona kuwa ni ndoto za abunuwasi lakini huenda soon zinaenda kuwa kweli, ACT-TANZANIA soon watakuwa chama kikuu cha upinzani bara na visiwani (endapo CCM itafanikiwa ku-retain status yake ya kuwa chama tawala kwenye pande zote za muungano).
Muda ni mwalimu asiekosea, soon atatuamulia ukweli tusiotamani kuusikia kuwa 'kinachofanya tuitwe chama kikuu cha upinzania au chama tawala ni uchaguzi'
Uko sahihi kabisa, hakuna mwenye tatizo na ukweli huo. Lakini uchaguzi lazima uwe wa halali ili kupata sifa hizo. Ni wendawazimu kushiriki uchaguzi ambao umepangwa matokeo ili kupata nafasi fulani isiyo ya haki. Nitawadharau sana cdm kama watakubali kushiriki uchaguzi wa kihuni ili kupata sifa ya kuwa chama kikuu cha upinzani. Cdm imeshavuka hatua ya kutaka kuwa chama kikuu cha upinzani, inataka uchaguzi wa haki iwe hata ya mwisho kwa ridhaa ya wananchi, sio kuwa chama kikuu cha upinzani kwa hisani ya ccm na mfumo.Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita.
Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna chama kipya kitachukua status mojawapo hapo.
Ni kujidanganya kuamini kuwa utaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani au chama tawala kama hutashiriki uchaguzi.
Binadamu wa lugha zote wanamsemo ambao kwa kiswahili unasema 'Hakuna marefu yasiyo na ncha'
Japo wengi tulibeza na kuona kuwa ni ndoto za abunuwasi lakini huenda soon zinaenda kuwa kweli, ACT-TANZANIA soon watakuwa chama kikuu cha upinzani bara na visiwani (endapo CCM itafanikiwa ku-retain status yake ya kuwa chama tawala kwenye pande zote za muungano).
Muda ni mwalimu asiekosea, soon atatuamulia ukweli tusiotamani kuusikia kuwa 'kinachofanya tuitwe chama kikuu cha upinzania au chama tawala ni uchaguzi'
Tumezoea kuonewa acha wachukue tu mnaowaona wanafaa.No Reform No Election.Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita.
Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna chama kipya kitachukua status mojawapo hapo.
Ni kujidanganya kuamini kuwa utaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani au chama tawala kama hutashiriki uchaguzi.
Binadamu wa lugha zote wanamsemo ambao kwa kiswahili unasema 'Hakuna marefu yasiyo na ncha'
Japo wengi tulibeza na kuona kuwa ni ndoto za abunuwasi lakini huenda soon zinaenda kuwa kweli, ACT-TANZANIA soon watakuwa chama kikuu cha upinzani bara na visiwani (endapo CCM itafanikiwa ku-retain status yake ya kuwa chama tawala kwenye pande zote za muungano).
Muda ni mwalimu asiekosea, soon atatuamulia ukweli tusiotamani kuusikia kuwa 'kinachofanya tuitwe chama kikuu cha upinzania au chama tawala ni uchaguzi'
Endeleeni kujidanganya na mama yenuKitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita.