Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Festival ni maadhimisho yanayoadhimishwa kila msimu na ambayo huwa yanaendana na utamaduni wa jamii fulani hasa yakiendana zaidi na dini, sanaa au mtindo wa maisha wa muda mrefu, mfano mzuri ni Diwali Festival, Halloween, Oktoberfest, Rio Carnival, Sauti za Busara n.k
Kinachofanyika huko Arusha kiuhalisia ni Parade, ilipaswa iitwe Land Rover PARADE kwa sababu haikidhi vigezo vyovyote vya festival local au kimataifa. Ni ushamba kuiita hiyo Festival. Land Rover haina historia yoyote ya kipekee na Arusha au hata Tanzania.