Kinachofanyika Arusha Ni Land Rover Parade, sio Land Rover Festival

Festival ni maadhimisho yanayoadhimishwa kila msimj na ambayo huwa yanaendana na utamaduni wa jamii fulani hasa yakiendana zaidi na dini, sanaa au mtindo wa maisha wa muda mrefu, mfano mzuri ni Diwali Festival, Halloween, Oktoberfest, Rio Carnival, Sauti za Busara n.k

Kinachofanyika huko Arusha kiuhalisia ni Parade, ilipaswa iitwe Land Rover PARADE kwa sababu haikidhi vigezo vyovyote vya festival local au kimataifa. Ni ushamba kuiita hiyo Festival. Land Rover haina historia yoyote ya kipekee na Arusha au hata Tanzania.
Basi sawa..
Pongezi kwa ubunifu wa parade
 
Naona bado mnabishania lugha ya mkoloni ifae kukuita hata wewe pia ni mshamba ipe jina la kiswahili tuelewe!
 
Kwenye ili tuwape hongera iwe festival au parade au kikao
 
Festival ni maadhimisho yanayoadhimishwa kila msimj na ambayo huwa yanaendana na utamaduni wa jamii fulani hasa yakiendana zaidi na dini, sanaa au mtindo wa maisha wa muda mrefu, mfano mzuri ni Diwali Festival, Halloween, Oktoberfest, Rio Carnival, Sauti za Busara n.k

Kinachofanyika huko Arusha kiuhalisia ni Parade, ilipaswa iitwe Land Rover PARADE kwa sababu haikidhi vigezo vyovyote vya festival local au kimataifa. Ni ushamba kuiita hiyo Festival. Land Rover haina historia yoyote ya kipekee na Arusha au hata Tanzania.
Chuki na wivu ukijumlisha unapata uchawi. Wewe umebuni nini? Au ni bingwa wa kukosoa.Anzisha yako yenye vigezo basi tukusifie.
 
Back
Top Bottom