Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Umevumilia umeshindwa😂 ungejibu hoja lakiniWivu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umevumilia umeshindwa😂 ungejibu hoja lakiniWivu tu
Hata mm naona mwanzo mzuri, wataboresha kutoka hapo. Muhimu hyo festival ikabidhiwe kwa watu binafsi, yasiratibiwe na mkuu wa mkoa tenaHuo ni mwanzo watakuja kuwa vizuri baadaye,muhimu wamejaribu...
Au sio.... kwamba historia ndio inatengenezwa, kwa kuanzia kuvunja rekodi ya guinnes sijui gaines.Unasubiri historia uletewe?
Historia lazima ifosiwe,hakuna ushamba hapo watu wapo sahihi saaaaana
Hio tunajua sisi ni festival,wewe Andika andika huku jf watu wanafanya yao na yanaenda 😄
Festival ni 1 tu, NYAMA CHOMA FESTIVAL hiyo najua unakubaliana nayo sababu meno unayo.Festival ni maadhimisho ya kihistoria kila msimu wa jamii fulani, sasa historia gani inaadhimishwa kwenye maonyesho ya Land Rover ambayo unaweza kunasibisha na utamaduni wa Arusha au wa Kitanzania??
Huo sasa ni mkumbo.Sasa wenzio ambao hawamkubali wanaweka chuki kwenye chochote afanyacho au asemacho.
😂ukweli mchungu au sio ?Wivu tu
Kwa ushauri huu hatuna mpinzani kwenye namba moja ya ujinga Afrikawhatever mtavyosema, ila ukweli ni kwamba ni idea nzuri sana..na ninaona lazima itakuwa na mwendelezo.
point of correction, sio ujinga ni mapenzi ya magari hasa vyuma vya kwenda kama land rover.Kwa ushauri huu hatuna mpinzani kwenye namba moja ya ujinga Afrika
Ingekuwa land cruiser SAWA!Festival ni maadhimisho yanayoadhimishwa kila msimu na ambayo huwa yanaendana na utamaduni wa jamii fulani hasa yakiendana zaidi na dini, sanaa au mtindo wa maisha wa muda mrefu, mfano mzuri ni Diwali Festival, Halloween, Oktoberfest, Rio Carnival, Sauti za Busara n.k
Kinachofanyika huko Arusha kiuhalisia ni Parade, ilipaswa iitwe Land Rover PARADE kwa sababu haikidhi vigezo vyovyote vya festival local au kimataifa. Ni ushamba kuiita hiyo Festival. Land Rover haina historia yoyote ya kipekee na Arusha au hata Tanzania.
Lete yako iite Utakavyo, lkn hy ndo imeeanza na itaendelea hvy, tuache wivu wa kike!Ni ushamba kuiita hiyo Festival. Land Rover haina historia yoyote ya kipekee na Arusha au hata Tanzania.