Yaani kuna watu wanaketeka unashangaa shida nini? Si muwaache na ujinga wao nyie wherever mfanye matamasha yenu?Nyie wazee wa nagashima tulieni kidogo!!!
Sounds like kawivu fulani hivi..
Wivu wa kike.Wivu tu
Tatizo umesoma shule za Kayumba hujui tofauti ya parade na festivalFestival ni maadhimisho yanayoadhimishwa kila msimj na ambayo huwa yanaendana na utamaduni wa jamii fulani hasa yakiendana zaidi na dini, sanaa au mtindo wa maisha wa muda mrefu, mfano mzuri ni Diwali Festival, Halloween, Oktoberfest, Rio Carnival, Sauti za Busara n.k
Kinachofanyika huko Arusha kiuhalisia ni Parade, ilipaswa iitwe Land Rover PARADE kwa sababu haikidhi vigezo vyovyote vya festival local au kimataifa. Ni ushamba kuiita hiyo Festival. Land Rover haina historia yoyote ya kipekee na Arusha au hata Tanzania.
Tusamehe Kaka hatuna hata ki baby Walker cha kuparade, tunasubiri nyama choma festivalYaani kuna watu wanaketeka unashangaa shida nini? Si muwaache na ujinga wao nyie wherever mfanye matamasha yenu?
Festival ni maadhimisho ya kihistoria kila msimu wa jamii fulani, sasa historia gani inaadhimishwa kwenye maonyesho ya Land Rover ambayo unaweza kunasibisha na utamaduni wa Arusha au wa Kitanzania??Tatizo umesoma shule za Kayumba hujui tofauti ya parade na festival
parade inahusisha jambo moja tu Festival inakuwa na mambo Mengi
Landrover Festival mbali na msafara wa Landrover kutakuwa na shamra shamra nyingi zitakazohusisha sherehe , maonyesho ya kitalii ,na vitega uchumi nk
Unasubiri historia uletewe?Festival ni maadhimisho yanayoadhimishwa kila msimj na ambayo huwa yanaendana na utamaduni wa jamii fulani hasa yakiendana zaidi na dini, sanaa au mtindo wa maisha wa muda mrefu, mfano mzuri ni Diwali Festival, Halloween, Oktoberfest, Rio Carnival, Sauti za Busara n.k
Kinachofanyika huko Arusha kiuhalisia ni Parade, ilipaswa iitwe Land Rover PARADE kwa sababu haikidhi vigezo vyovyote vya festival local au kimataifa. Ni ushamba kuiita hiyo Festival. Land Rover haina historia yoyote ya kipekee na Arusha au hata Tanzania.
Hayo ndio Maisha,acha watu wafurahi 😄Msifanywe wajinga, mnaambiwa jambo la hovyo ni nyie mmetoa macho tu kushadadia uhovyo.