Kinachofanyika Arusha Ni Land Rover Parade, sio Land Rover Festival

Basi sawa..
Pongezi kwa ubunifu wa parade
 
Naona bado mnabishania lugha ya mkoloni ifae kukuita hata wewe pia ni mshamba ipe jina la kiswahili tuelewe!
 
Kwenye ili tuwape hongera iwe festival au parade au kikao
 
Nikusaidie jambo


Kila kitu ukionacho, kilikuwa na siku ya kwanza. Kuwa open mimded person itakusaidia sana katika mustakabali wa maisha yako
 
Chuki na wivu ukijumlisha unapata uchawi. Wewe umebuni nini? Au ni bingwa wa kukosoa.Anzisha yako yenye vigezo basi tukusifie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…