Kinachofanyika kwenye kutekwa, kupotezwa au kuuawa bila kujulikana kwa watu popote ulimwenguni

Habarini wanajamvi!
Najua baadhi yenu mmewahi kutamani kuingia Jeshini (JWTZ) au Usalama wa Taifa (TISS)

Sasa kuna Operation zipo mbili ambazo nafikiri zikifanyika au zinafanyika bila umakini zinaustua uma ambazo ni:-
1. Clandestine na
2. Infiltration - Nitazieleza kama ifuatavyo

Clandestine operation - means " Done in secret, behind the scenes, Covert, Furtive, Sneak or Stealthy e.t.c
Hii ni operation inayotumiwa sana na vikundi vya usalama vilivyotajwa hapo juu lakini operation hizo ziki fail inakuwa kama ilivyowahi kutokea hapa

1. Kutekwa kwa Dr. Ulimboka ( wakajua ameshakufa kumbe kawadanganya kwa kuzimia, wakamtelekeza mabwepande baadae akakutwa na kuokolewa
- Adhabu iliyostahili kupewa wahusika kwenye taasisi yao ilikuwa ni kuuwawa maana ni fedheha kushindwa kazi wakati umewezeshwa kila kitu ikiwemo fedha.

2. Kumwagiwa Tindikali Said Kubenea na wenzake "walimwaga kwa woga yaani hawakujiandaa"

3. Kupigwa Risasi kwa Ho. Tundu Lissu

Fikiria na matukio yafuatayo inawezekana operation hiyo ilifanikiwa " good execution"
1. Ben Saanane
2. Prof Jwani Mwaikusa
3. Chacha Wangwe
4. Jems Kombe
5. Mwandishi Azory

Na zingine nyingi

Hizi operation zinapangwa kwa umaridadi mkubwa sana na zinafanyiwa rehearsal ya kutosha lakini waki fail kwenye execution adhabu ni kama nilivyotaja hapo juu.
N:B
- Kiujumla hii ni operation ya haraka ili kuokoa jambo baya endapo muhusika ataachwa alitekeleze
- Na ili litekelezwe kunakuwa na reconnaissance ya kutosha imefanyika.

2. Infiltration operation
Maana yake ni - The action of entering or gaining access to an organization or place surreptitiously, especially in order to acquire secret information or cause damage
Au ni The process of secretly becoming part of a group in order to get information or to influence the way that a group thinks or behaves.

" JWTZ huwa wanajenga fence ili ku stop militant infiltration"

Kama difn zinavyojieleza hapo juu
Infiltration ni operation ya mda mrefu ambayo inahitaji professional husika e.g
- kama ni idara ya Afya basi anayetumwa anatakiwa awe member wa fani za afya.
- Kama ni migodi ya madini anatakiwa kwenda huko awe mtaalamu pia.
- Kama ni jeshi pia anapandikizwa mwanajeshi ili awe uniform na wao

sasa utawa influence vip?
Ni lazima awe na akili nyingi na mwenye uwezo wa kupambanua mambo
- Hawa ni wabaya maana mara nyingine anaweza kuwa double agents

Nataka ni justify

Sidhani kama waliotekwa au kupotea wanaweza kupatikana kama walikuwa na malengo mabaya kwenye maeneo waliyokuwa wanayafanyia kazi.

Maana yake ni hivi

Infiltrator anakuwa counted na covert (clandestine) operations

Infiltration ni mbaya sana msipokuwa macho kama nchi jamii nzima au nchi husika inaweza kuuzwa.

Mind you try to think critically. We need a critical thinkers

kama sijaeleweka karibuni kwa maswali, au kukosolewa ijapokuwa najua wengi wenu "you know no nothing about this issues"

Mods kama inakiuka maadili ya jamii forum mnaweza kuiondoa"

Ahsante sana

cc Yeriko Nyerere.

Mbona unazidi kuniogopesha?
Inamaana waliotekwa na kutopatikana ndiyo hivyo tena? Mungu turehemu
 
Ukitekwa hawawezi kukuachia hata siku moja. Maana wakikuachia utatoa siri. Na ukitoa siri tayari watakamatwa wakikamatwa mbinu zao na malengo yatakuwa wazi kwa hiyo mipango yao itaharibika kabisa. Na hapo hakuna maisha tena.
 
Unajaribu kuelezea kitu fulani na sabbu ya kutaka kuelezea hicho ukitakacho bila shaka unayo mwenyewe na utakuwa tayari kuitetea popote !
Sio Watanzania wote ni wajuzi wa kiingereza kama lengo lango ilikuwa kuelimisha ungetumia kiswahili kuelezea yale yaliyo karibu na aya yako ya mwisho..

Kwa kumalizia nimeona umesema katika kozi hizo wanafunzi hawatambuani. Na walimu pia hawatambuani..
Nakushauri nawe pia kutanua uwezo wako wa ufahamu wa walio karibu yako usio wafahamu utambulisho bandia yamkini hauwezi kuwa zuio la wakutakao kukupata mara watakapokuhitaji.

Na bila shaka haitajalisha wewe ni nani na uko wapi.
Wasalaam.
 
Hivi huyu Prof. alikua na shida gani kwenye nchi hii hadi ahisiwe kuondolewa hapa duniani?
Kuna kesi ilikuwa inaendelea kule Arusha kwenye mahakama ya mauaji ya kimbari ya Rwanda.
Sasa basi huyu mzee JWANI MWAIKUSA alikuwa ni wakili wa kujitegemea aliyofautiana na mteja wake.
Mteja akafanya juu chini kumdedisha jamaa
 
Duuh! asante boss!

Calabash pale Mwenge
La Chaaz Sinza
4 Wayz Kinondoni
Ukienda hizi bar, kila mtu anajitapa usalama.

Hapo hakuna usalama. Labda Informer tena ambaye amewekwa na mtu binafsi kwaajili ya malengo binafsi. Lakini sio informer wa serikali. Labda ma CID wa police hao wapo wengi au mgambo ambao wanafanya kazi kwenye vituo vya police ili waweze kuibua vijiwe vya bange au gongo.
 
Unajaribu kuelezea kitu fulani na sabbu ya kutaka kuelezea hicho ukitakacho bila shaka unayo mwenyewe na utakuwa tayari kuitetea popote !
Sio Watanzania wote ni wajuzi wa kiingereza kama lengo lango ilikuwa kuelimisha ungetumia kiswahili kuelezea yale yaliyo karibu na aya yako ya mwisho..

Kwa kumalizia nimeona umesema katika kozi hizo wanafunzi hawatambuani. Na walimu pia hawatambuani..
Nakushauri nawe pia kutanua uwezo wako wa ufahamu wa walio karibu yako usio wafahamu utambulisho bandia yamkini hauwezi kuwa zuio la wakutakao kukupata mara watakapokuhitaji.

Na bila shaka haitajalisha wewe ni nani na uko wapi.
Wasalaam.

Acha uboya wewe. Nimekuja kutoa elimu tu. Kama hutaki fungua thread nyingine, nimetoa elimu ndani ya mipaka yangu.
Naijua sheria ya mitandao kuluko unavyojua. Nenda kaharishe kule.
 
Natumai hukuwa na sabbu ya msingi ya kutumia maneno yasiyo na staha katika kunijibu, ushauri waweza kuwa mzuri ama mbaya na kwa sehemu ya taaluma uliyo kuwa unajaribu kuilezea nadhani wakufunzi huwafundisha wanafunzi wao kuhimili mihemko ya nafsi zao. (Majibu sahihi kwa wakati sahihi..).

Ahsante mkuu Nditolo.
 
Back
Top Bottom