Kinachofanyika kwenye kutekwa, kupotezwa au kuuawa bila kujulikana kwa watu popote ulimwenguni

Mbona unazidi kuniogopesha?
Inamaana waliotekwa na kutopatikana ndiyo hivyo tena? Mungu turehemu
 
Mbona unazidi kuniogopesha?
Inamaana waliotekwa na kutopatikana ndiyo hivyo tena? Mungu turehemu
Ukitekwa hawawezi kukuachia hata siku moja. Maana wakikuachia utatoa siri. Na ukitoa siri tayari watakamatwa wakikamatwa mbinu zao na malengo yatakuwa wazi kwa hiyo mipango yao itaharibika kabisa. Na hapo hakuna maisha tena.
 
Unajaribu kuelezea kitu fulani na sabbu ya kutaka kuelezea hicho ukitakacho bila shaka unayo mwenyewe na utakuwa tayari kuitetea popote !
Sio Watanzania wote ni wajuzi wa kiingereza kama lengo lango ilikuwa kuelimisha ungetumia kiswahili kuelezea yale yaliyo karibu na aya yako ya mwisho..

Kwa kumalizia nimeona umesema katika kozi hizo wanafunzi hawatambuani. Na walimu pia hawatambuani..
Nakushauri nawe pia kutanua uwezo wako wa ufahamu wa walio karibu yako usio wafahamu utambulisho bandia yamkini hauwezi kuwa zuio la wakutakao kukupata mara watakapokuhitaji.

Na bila shaka haitajalisha wewe ni nani na uko wapi.
Wasalaam.
 
Hivi huyu Prof. alikua na shida gani kwenye nchi hii hadi ahisiwe kuondolewa hapa duniani?
Kuna kesi ilikuwa inaendelea kule Arusha kwenye mahakama ya mauaji ya kimbari ya Rwanda.
Sasa basi huyu mzee JWANI MWAIKUSA alikuwa ni wakili wa kujitegemea aliyofautiana na mteja wake.
Mteja akafanya juu chini kumdedisha jamaa
 
Duuh! asante boss!

Calabash pale Mwenge
La Chaaz Sinza
4 Wayz Kinondoni
Ukienda hizi bar, kila mtu anajitapa usalama.

Hapo hakuna usalama. Labda Informer tena ambaye amewekwa na mtu binafsi kwaajili ya malengo binafsi. Lakini sio informer wa serikali. Labda ma CID wa police hao wapo wengi au mgambo ambao wanafanya kazi kwenye vituo vya police ili waweze kuibua vijiwe vya bange au gongo.
 
Acha uboya wewe. Nimekuja kutoa elimu tu. Kama hutaki fungua thread nyingine, nimetoa elimu ndani ya mipaka yangu.
Naijua sheria ya mitandao kuluko unavyojua. Nenda kaharishe kule.
 
Acha uboya wewe. Nimekuja kutoa elimu tu. Kama hutaki fungua thread nyingine, nimetoa elimu ndani ya mipaka yangu.
Naijua sheria ya mitandao kuluko unavyojua. Nenda kaharishe kule.
Natumai hukuwa na sabbu ya msingi ya kutumia maneno yasiyo na staha katika kunijibu, ushauri waweza kuwa mzuri ama mbaya na kwa sehemu ya taaluma uliyo kuwa unajaribu kuilezea nadhani wakufunzi huwafundisha wanafunzi wao kuhimili mihemko ya nafsi zao. (Majibu sahihi kwa wakati sahihi..).

Ahsante mkuu Nditolo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…